Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Apart from Zama tuna Faustina Mfinanga aka Nandy,,,,anambeba sana Billy Nas....wapo wengi mbona[emoji2]

Mmmh Hii bifu ya Mange na Zama ni real,Mange hapendagi mtu atoboe lazima amstress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi ndoa hazidumu kwa ajili ya kutamaniana tu, sasa kama DC anachapiwa sisi wengine si ndo balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika, kama wewe mume upo Dar, kipindi hiki ka mvua na december hii mkeo anapewa zawadi za christmas[kuzaliwa kwa mwokozi] , anapewa red roses, anapewa wine, anapewa black chocolate, wanaenda corporate event kempisky wewe umengaa macho tu apo naremote unaangalia mechi ya Man u , sijui yanga na Al Ahly umeliwa, unagongewa kilaini kwakuwa sisi wanawake tunataka mambo madogo madogo ya kimahaba wewe unashinda na mpira.
 
na mie najitafutia mvaa sendo za manyoya tunaruka majoka
 
Hakika, kama wewe mume upo Dar, kipindi hiki ka mvua na december hii mkeo anapewa zawadi za christmas[kuzaliwa kwa mwokozi] , anapewa red roses, anapewa wine, anapewa black chocolate, wanaenda corporate event kempisky wewe umengaa macho tu apo naremote unaangalia mechi ya Man u , sijui yanga na Al Ahly umeliwa, unagongewa kilaini kwakuwa sisi wanawake tunataka mambo madogo madogo ya kimahaba wewe unashinda na mpira.
Ndio maana nawashangaa sana wanaume wanao oa kizazi hiki. Pengine mume wako hata hafahamu kama ameoa kahaba.
 
Maisha lazima yaendelee, muda wenyewe wa kuishi hii dunia ni mfupi sana kweli, mimi naona kila mtu afurahie maisha anavyoona onamfaa ilimradi havunji sheria.
 
Ni kawaida mwanaume kupitia mapito kama ya Nikki. Kuna saa unajikuta unapenda manzi mkali ila kimoyomoyo unajua kabisa hapa lolote linaweza kutokea. Mbele ya wenye hela ni ngumu sana demu kukwepa mtego.
 
Back
Top Bottom