Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Ni kawaida mwanaume kupitia mapito kama ya Nikki. Kuna saa unajikuta unapenda manzi mkali ila kimoyomoyo unajua kabisa hapa lolote linaweza kutokea. Mbele ya wenye hela ni ngumu sana demu kukwepa mtego.
Usipoongea vizuri na wazee, haya uliyoyasema ni uhakika kabisa.

Lakini pia inawezekana huyo mwanamke hakuwa real kwake, atulie kisha atafute mwingine, life liendelee.
 
Back
Top Bottom