Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama mtu anayevaa kanzu na barakashia alafu mkononi anachupa ya bia ama msokoto wa bangi. Si sahihi kabisa.
View attachment 756353
View attachment 756356
Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF.
Leo naomba tujadili hili suala la mtu mmoja kuvaa kofia mbili ambazo kwa mtazamo wangu haziwezi kuvalika kwa wakati mmoja.
Naomba tujadili hili with reference to Nikki wa pili msanii mwanamuziki wa hip hop mbaye yupo mbioni kutunukiwa PhD. Soon Nikki will be having a doctorate.
Hivi katika hali ya kawaida ya maisha inawezekana vipi kwa msanii mwenye kofia mbili (intellectual life pamoja na hip hop life) kama vile Nikki wa pili msanii ambaye tunajua fika yuko mbioni kuwa miongozi mwa watanzania wenye kiwango cha juu cha elimu (Phd Holder) kuweza ku balance maisha ya aina zote mbili yaani kuonekana kwenye video za hip hop zenye wanawake waliovaa nusu uchi, wanaume wenye kuvaa kata K na kuonesha kidole cha kati pamoja na kusuka nywele alafu kesho unamuona yupo na intellectuals wengine kama akina Prof. Kabudi and other high profile intellectual figures, wanajadili mambo mazito ya nchi yahusuyo maendeleo ya taifa letu. How's this possible?
Binafsi, simsemi Nikki vibaya, ila ninadhani anahitaji ku sacrifice kimoja wapo.
Aidha aendelee kuwa wana hip hop ama aachane au apunguze swagger za ki hip hop na avae muonekano wa kisomi zaidi kwa maana yeye ni kioo cha jamii sasa.
Simaanishi kuwa anapaswa kuwatenga wavaa kata K kama kaka yake Joe, hapana, ila kuna ulazima wa yeye kuipa hiyo PhD heshima yake.
I STAND TO BE CORRECTED.
Umekariri?Kuna mahali pameandikwa how a PhD holder should behave, labda kwa bahati mbaya hujawahi kupasoma! Kwa kuanzia tu, ungeanza kufahamu lile gauni linalovaliwa wakati wa mahafali lina maana gani, kofia (na zile pembe zake) au kile ki mkia (tassle). Pia hudhuria mahafali mtu anapokuwa anatunukiwa shahada ya Uzamivu (PhD). Mimi huwa naifananisha na ibada ya mageuzo!
Baada ya kufahamu hayo machache, utarudi hapa jukwaani tujadili!
ngoja tukualike jukwaa la wajamaa tanzania(JULAWATA) nikki atakujibu.Ni kama mtu anayevaa kanzu na barakashia alafu mkononi anachupa ya bia ama msokoto wa bangi. Si sahihi kabisa.
View attachment 756353
View attachment 756356
Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF.
Leo naomba tujadili hili suala la mtu mmoja kuvaa kofia mbili ambazo kwa mtazamo wangu haziwezi kuvalika kwa wakati mmoja.
Naomba tujadili hili with reference to Nikki wa pili msanii mwanamuziki wa hip hop mbaye yupo mbioni kutunukiwa PhD. Soon Nikki will be having a doctorate.
Hivi katika hali ya kawaida ya maisha inawezekana vipi kwa msanii mwenye kofia mbili (intellectual life pamoja na hip hop life) kama vile Nikki wa pili msanii ambaye tunajua fika yuko mbioni kuwa miongozi mwa watanzania wenye kiwango cha juu cha elimu (Phd Holder) kuweza ku balance maisha ya aina zote mbili yaani kuonekana kwenye video za hip hop zenye wanawake waliovaa nusu uchi, wanaume wenye kuvaa kata K na kuonesha kidole cha kati pamoja na kusuka nywele alafu kesho unamuona yupo na intellectuals wengine kama akina Prof. Kabudi and other high profile intellectual figures, wanajadili mambo mazito ya nchi yahusuyo maendeleo ya taifa letu. How's this possible?
Binafsi, simsemi Nikki vibaya, ila ninadhani anahitaji ku sacrifice kimoja wapo.
Aidha aendelee kuwa wana hip hop ama aachane au apunguze swagger za ki hip hop na avae muonekano wa kisomi zaidi kwa maana yeye ni kioo cha jamii sasa.
Simaanishi kuwa anapaswa kuwatenga wavaa kata K kama kaka yake Joe, hapana, ila kuna ulazima wa yeye kuipa hiyo PhD heshima yake.
I STAND TO BE CORRECTED.
ngoja tukualike jukwaa la wajamaa tanzania(JULAWATA) nikki atakujibu.Ni kama mtu anayevaa kanzu na barakashia alafu mkononi anachupa ya bia ama msokoto wa bangi. Si sahihi kabisa.
View attachment 756353
View attachment 756356
Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF.
Leo naomba tujadili hili suala la mtu mmoja kuvaa kofia mbili ambazo kwa mtazamo wangu haziwezi kuvalika kwa wakati mmoja.
Naomba tujadili hili with reference to Nikki wa pili msanii mwanamuziki wa hip hop mbaye yupo mbioni kutunukiwa PhD. Soon Nikki will be having a doctorate.
Hivi katika hali ya kawaida ya maisha inawezekana vipi kwa msanii mwenye kofia mbili (intellectual life pamoja na hip hop life) kama vile Nikki wa pili msanii ambaye tunajua fika yuko mbioni kuwa miongozi mwa watanzania wenye kiwango cha juu cha elimu (Phd Holder) kuweza ku balance maisha ya aina zote mbili yaani kuonekana kwenye video za hip hop zenye wanawake waliovaa nusu uchi, wanaume wenye kuvaa kata K na kuonesha kidole cha kati pamoja na kusuka nywele alafu kesho unamuona yupo na intellectuals wengine kama akina Prof. Kabudi and other high profile intellectual figures, wanajadili mambo mazito ya nchi yahusuyo maendeleo ya taifa letu. How's this possible?
Binafsi, simsemi Nikki vibaya, ila ninadhani anahitaji ku sacrifice kimoja wapo.
Aidha aendelee kuwa wana hip hop ama aachane au apunguze swagger za ki hip hop na avae muonekano wa kisomi zaidi kwa maana yeye ni kioo cha jamii sasa.
Simaanishi kuwa anapaswa kuwatenga wavaa kata K kama kaka yake Joe, hapana, ila kuna ulazima wa yeye kuipa hiyo PhD heshima yake.
I STAND TO BE CORRECTED.
Usimpangie cha kufanya.Ni kama mtu anayevaa kanzu na barakashia alafu mkononi anachupa ya bia ama msokoto wa bangi. Si sahihi kabisa.

Unamchukuliaje mtu kama Magufuli mwenye PhD anaekaa meza moja na Prof Kabudi, na maDr wengine halafu unamkuta akipanga mikakati ya nchi na kina Musukuma, Kibajaji, Makonda?