LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"
Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii mwana hip hop msomi. Kwenye interviews za Nikki wa Pili ninamuona "Msomi Graduate wa UDSM ambae anafanya muziki" Simuoni mwanamuziki wa hip hop msomi wa chuo.
From.Hiphop perspective, interview zako zinaboa Sana. Unaongea kistaarabu mno . Yani kama unafanya presentation kwenye seminar pale ss1. Huchangamki kwenye interviews zako. Msanii wa Hip-hop unatakiwa kuonyesha u hip hop wako Hadi kwenye interviews zako Bana.
Fanya udambwidambwi wa ki hip hop. Unaulizwa swali la kimuziki unajibu kwa kumquote Che Guevara, soon there after unaenda kum quote Sokoine. Are u serious bro!!! Una mquote Mzee Warioba kwenye interview ya Hip-hop? Kweli?
Wenzako akiulizwa swali kama Hilo anaanza Kwa kuchangamsha interview Kwa freestyle or acapella and stuffs.
Check interviews za Wakazi.
Yule Jamaa ni shule inayotembea.
NI msomi but haleti habari za madesa anapokuwa kwenye interviews zake.
Anaongea vitu vya kisomi ambavyo vinarelate na.muziki wa hip-hop, biashara ya muziki na show biz industry at large.
At least uwe kama Koffi Olomide. Usomi wa Koffi Olomide unaonekana kwenye ubora na umakini wa kazi zake.
Kama umechagua kuwa an entertainer then be an entertainer.
Mashabiki wa muziki hatutakujudge kama msomi wa Chuo Kikuu ambae anafanya muziki. Sisi tutakujudge kama mwanamuziki wa hip hop. So usituletee madesa kwenye hip-hop.
Msanii wa hip hop unatakiwa kuwa mtundu mtundu.