Nikki wa Pili jifunze jambo hili kwa Wakazi

Nikki wa Pili jifunze jambo hili kwa Wakazi

Wakazi ni real-hiphop . Ila kiuhalisia na maisha yetu ya kibongo tunamwelewa Nikki Wapili.
 
Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii mwana hip hop msomi. Kwenye interviews za Nikki wa Pili ninamuona "Msomi Graduate wa UDSM ambae anafanya muziki" Simuoni mwanamuziki wa hip hop msomi wa chuo.

So unamaanisha UDSM sio chuo..?
Alafu uandishi wako haueleweki mfn hapa unamaanisha nini "kwenye interviews zako simuoni msanii mwana hip hop msomi. Kwenye interviews za Nikki wa Pili ninamuona "Msomi Graduate wa UDSM ambae anafanya muziki" 🤷‍♂️🤷‍♂️

Yaani humuoni msomi alafu tena unamuona msomi[emoji28][emoji28][emoji28]🤣🤣[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go back to skul
 
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"

Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii mwana hip hop msomi. Kwenye interviews za Nikki wa Pili ninamuona "Msomi Graduate wa UDSM ambae anafanya muziki" Simuoni mwanamuziki wa hip hop msomi wa chuo.

From.Hiphop perspective, interview zako zinaboa Sana. Unaongea kistaarabu mno . Yani kama unafanya presentation kwenye seminar pale ss1. Huchangamki kwenye interviews zako. Msanii wa Hip-hop unatakiwa kuonyesha u hip hop wako Hadi kwenye interviews zako Bana.

Fanya udambwidambwi wa ki hip hop. Unaulizwa swali la kimuziki unajibu kwa kumquote Che Guevara, soon there after unaenda kum quote Sokoine. Are u serious bro!!! Una mquote Mzee Warioba kwenye interview ya Hip-hop? Kweli?

Wenzako akiulizwa swali kama Hilo anaanza Kwa kuchangamsha interview Kwa freestyle or acapella and stuffs.

Check interviews za Wakazi.

Yule Jamaa ni shule inayotembea.

NI msomi but haleti habari za madesa anapokuwa kwenye interviews zake.

Anaongea vitu vya kisomi ambavyo vinarelate na.muziki wa hip-hop, biashara ya muziki na show biz industry at large.

At least uwe kama Koffi Olomide. Usomi wa Koffi Olomide unaonekana kwenye ubora na umakini wa kazi zake.

Kama umechagua kuwa an entertainer then be an entertainer.

Mashabiki wa muziki hatutakujudge kama msomi wa Chuo Kikuu ambae anafanya muziki. Sisi tutakujudge kama mwanamuziki wa hip hop. So usituletee madesa kwenye hip-hop.

Msanii wa hip hop unatakiwa kuwa mtundu mtundu.
Asanteee
 
Niliona interview ya Nikki mbishi akiulizwa kuhusu interview yake na Wakazi.. Jamaa akajibu swali kwa freestyle ya mistari.. Akasema hakuna kitu kipya nichaviongelea
Now that's hiphop...tatizo jamaa he is desperate kuonekana mwerevu, mwenye hekima, intellectual...
 
Hivi kuwa msomi lzm uwe na PhD za kikuda?
 
Wanafanya aina mbili tofauti za muziki mkuu.Huyo Nikki wa pili(Wa kwanza hajulikani) hafanyi hiphop.Halafu nimeifungua hii thread haraka nikidhani ni Nikki mbishi na wakazi nieleze hoja yangu kuhusu wao.Kumbe ni A NON MC NIKKI!Huyo ye huwa ni msomi tu wa sociology halafu basi anakuwa kamaliza jambo lake muhimu..Ndo maana hata wewe unamuona kwanza kama msomi wa UDSM kabla ya vitu vingine..Hata yeye anapenda iwe hivyo kwasababu mbali na hako kausomi hana kitu kingine cha kuwavutia wana.Identity yake ni usomi..His brother is a cool nigga..Nikki ni waki..
 
Nikki ana tatizo la kudhani yeye pekee ndio kasoma na anajua kila kitu
 
Sijawahi kumwelewa nikki wa pili ....kwny interview anaweza akawa anaongea movement quotes za siasa na kadhalika s mbaya kwny nymbo sasa eti swagire swagire...mara sijui geregere yaan jamaa ni waki convert message zako za movement kuwa hiphop tuone hyo movement katka flow unajikuta una vipost insta vya kuamsha hisia na hali ya kupambana andika kama ww ni real mc tuone yaan jamaa hana radha kweli kachagua kuwa msomi wa phD kuliko mcee wa hip hop nadhan
 
Nick mbishi kwenye hiyo intervw anajiona anajua sana
Free style yupo njema lakin siku zote PRIDE haimpeleki popote

Back
Top Bottom