God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
prof j anaakili sana kama angelienda darasani angeliongoza maana nyimbo zake nyingi zina maudhui na zinafundisha sana sio kama hawa marapa wa sikuizi wanarap upuuzi tuu na mapenzi na wengine wanaimba kabisa rnb!Ndo hivyo
Pspa sijui sociology....
hana tofauti na Pro-pesa wa buguruni malapaHakuna PhD yenye makelele kama ya Nikki.
Wee ndo kichaa PSPA inasomwa na waliofelieee..kichaa kweli labda hiyo ya UDOM sio UDSMAlifeli A level ndoana alisoma PSPA.....
HIVI HUYU NDIO MSANII PEKEE MWENYE ELIMU TANZANIA? MAANA ANA KELELE SANANikki hizi sifa ndio maana sikukubali kabisa nje ya muziki.
Mbona kaka yako Joh mtu poa tu?
Achaga hizo mboyoyo.
HAHAHAHA ETI COURSE ZA VITI MAALUMKasoma course za viti maalumu halafu anasema hajafel
Kwa hiyo anasonga kistimu na ndoto kede??
Akihojiwa na Millard Ayo. Nikki wa Pili amesema toka aanze darasa la kwanza, hajawahi kufeli shule.
wimbo gani wa dogo janja
Lipumba !Before alikua anatumia jina gani kwani?
Unaongea usichokijua. Kumbuka pia ni udsm, na alikuwa sociology. Cut off points kipindi hicho ni 10.5. Kama una akili utajua ni division gani lkn kama huna akili huwezi jua
Kwa division yake hio na hizo cut off points na kwa combination yake nilijua tu hana ubavubwa kusoma kitivoni...pale wengiii wanaosanda CASS ni cut off points ndogo haya mimi na wewe nani hana akili?Unaongea usichokijua. Kumbuka pia ni udsm, na alikuwa sociology. Cut off points kipindi hicho ni 10.5. Kama una akili utajua ni division gani lkn kama huna akili huwezi jua
Wewe huna akili, maana unaongea usichokijua. Hebu check uliyoandika;-Kwa division yake hio na hizo cut off points na kwa combination yake nilijua tu hana ubavubwa kusoma kitivoni...pale wengiii wanaosanda CASS ni cut off points ndogo haya mimi na wewe nani hana akili?
Umeonaee wote wanaomdis Nikki ni mahausigeli na mashambaboi wana wivu tu na mtu alieelimika zaidi yao.Villazza wamepanic sana wanalazimisha alifeli maraaa hata div 4 ni pass daaah