Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Duuuuh ngoja nikae kimya maana nimesoma naye daraja mbili primary school. Nikasoma naye arusha secondary school. Ila jamaa haringi kama wengi mnavyosema. Ila ukijua maisha aliyopitia ni mafunzo mazuri kwa vijana wetu wanaosoma. Ni hayo tu
 
Akihojiwa na Millard Ayo. Nikki wa Pili amesema toka aanze darasa la kwanza, hajawahi kufeli shule.

Kinachonifanya nishindwe kufuatilia habari za hawa watu ni ubovu wa lugha kwa wanaowahoji! Nachefuliwa sana na maneno kama..."Sijawahi Kukupataga"..
 
Unaongea usichokijua. Kumbuka pia ni udsm, na alikuwa sociology. Cut off points kipindi hicho ni 10.5. Kama una akili utajua ni division gani lkn kama huna akili huwezi jua
Unaongea usichokijua. Kumbuka pia ni udsm, na alikuwa sociology. Cut off points kipindi hicho ni 10.5. Kama una akili utajua ni division gani lkn kama huna akili huwezi jua
Kwa division yake hio na hizo cut off points na kwa combination yake nilijua tu hana ubavubwa kusoma kitivoni...pale wengiii wanaosanda CASS ni cut off points ndogo haya mimi na wewe nani hana akili?
 
Kwa division yake hio na hizo cut off points na kwa combination yake nilijua tu hana ubavubwa kusoma kitivoni...pale wengiii wanaosanda CASS ni cut off points ndogo haya mimi na wewe nani hana akili?
Wewe huna akili, maana unaongea usichokijua. Hebu check uliyoandika;-
[emoji735] ubavubwa
[emoji735] kitivoni...sijui unamaanisha nini
[emoji735] wanaosanda CASS ni cut off

Yaani hueleweki unacho andika. Tupunuze maneno mengi, kuna mdau kaweka matokeo yake inaonesha ana div I-07.

Weka yako tuone, halafu ueleze na chuo chako tukijue.
 
Villazza wamepanic sana wanalazimisha alifeli maraaa hata div 4 ni pass daaah
Umeonaee wote wanaomdis Nikki ni mahausigeli na mashambaboi wana wivu tu na mtu alieelimika zaidi yao.

Hilo swali ameulizwa na mtangazaji sasa sijui walitaka anyamaze.

Waafrika kinachiturudisha nyuma ni uchawi sababu huu ni uchawi kumchukia mtu kisa kakuzidi.

Jealous people never win watabakia makuruta tu eternally.

[emoji817]
 
Back
Top Bottom