Niko addicted na JamiiForums

Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ningekuwa mod ningekulima ban ya miezi miwili ili huo uraibu ukuishe maana ukianza mambo ya uraibu ni sawa tu na kula nyama ya mtu. Leo utakuwa na uraibu wa JF, kesho uraibu wa betting, mara pono, halafu nyeto, pombe, CCM, ngada, mbususu; na kuendelea.

Mods please piga hii mtu ban ya miezi miwili; na akifungua akaunti zingine unganisha ID zote halafu piga ban ili tuokoe taifa jameni...😁
 
Itoshe tu kesema JF ni bonge moja la platform kuwahi kutokea hapa nchini.

Ni chuo kikuu asee sema tu hakina lecture rooms na hostels

1.kununua na kuagizia bidhaa nje nimejifunza JF
2.Kutumia internet ya bure through vpn nimejifunza JF
3.Machimbo makali ya mitumba na bidhaa kibao mjini bongo nimewagundulia hapa.
4.Achana na apps kali za kudowlodia movie ,kucheki soka na 1Xbet kwa sisi wapiga ramli😂
5.Na kuna demu nimemla kimasihara sana mpaka sijaamin..

SHIKAMOO JF.
 
Kilichobaki ni kupigwa ban tu au sio
 
Huyo namba 2 nichane mkuu hata PM Mimi huwa nahangaika na instabridge eti. 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…