Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

Hii addiction nilikuwa nayo mwaka 2011 wakati nikiwa new member mpaka 2015 hapo.

JF ilikua ya moto kweli mpaka tukaunda na magrp ya whatsapp enzi hizo members mwisho 56

Jamani acheni JF ina pis kali, tumekulana sana huko nje jf kipindi hichošŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
Ulikula ukanawa na kufuta mdomo mkuu🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu umejiunga 2019 leo 2024 una post 3k tu halafu unasema upo addicted kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Watu walio addicted wamejiunga mwaka huu na tayari wana post 20k kuendelea. Kila uzi wanatembea nao. Kila ukifungua uzi unapata coment yake pale.
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ningekuwa mod ningekulima ban ya miezi miwili ili huo uraibu ukuishe maana ukianza mambo ya uraibu ni sawa tu na kula nyama ya mtu. Leo utakuwa na uraibu wa JF, kesho uraibu wa betting, mara pono, halafu nyeto, pombe, CCM, ngada, mbususu; na kuendelea.

Mods please piga hii mtu ban ya miezi miwili; na akifungua akaunti zingine unganisha ID zote halafu piga ban ili tuokoe taifa jameni...😁
 
Itoshe tu kesema JF ni bonge moja la platform kuwahi kutokea hapa nchini.

Ni chuo kikuu asee sema tu hakina lecture rooms na hostels

1.kununua na kuagizia bidhaa nje nimejifunza JF
2.Kutumia internet ya bure through vpn nimejifunza JF
3.Machimbo makali ya mitumba na bidhaa kibao mjini bongo nimewagundulia hapa.
4.Achana na apps kali za kudowlodia movie ,kucheki soka na 1Xbet kwa sisi wapiga ramlišŸ˜‚
5.Na kuna demu nimemla kimasihara sana mpaka sijaamin..

SHIKAMOO JF.
 
Kilichobaki ni kupigwa ban tu au sio
 
Huyo namba 2 nichane mkuu hata PM Mimi huwa nahangaika na instabridge eti. 🤣
 
Back
Top Bottom