Niko addicted na JamiiForums

Jukwaa la Wakubwa hatari sana, Malaya wa Kimboka walikuwa wanapostiwa sana kule. Kuna Mdau jina limenitoka ndio lilikuwa jukwaa lake pendwa
Aisee! Hivi ilikuwaje mpaka lile jukwaa likaondolewa?
 
Bhana Mlongo hata sahivi watu wana enjoy JF, kukulana watu wanakulana km kawaa,

Jf ina wakaka wazurii bhanaa, wamenyooka vyediii!! [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Aisee humu JF Kuna nini.

Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.

Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi

Naipenda JamiiForums mno
Mimi nimepona huu ulevi wa jf.
Poleni wagonjwa mliosalia
 
Mbona lipo had sahivi, sema nafas ya kuingia kulee ni taabu.

Wajanjaa tupo na tunasererekaa naloo, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Acha kunipiga fix,hilo jukwaa lilishafutwa muda mrefu Sana halipo kabisa.
Au Basi nitumie screenshot ya like jukwaa nione
 
Bhana Mlongo hata sahivi watu wana enjoy JF, kukulana watu wanakulana km kawaa,

Jf ina wakaka wazurii bhanaa, wamenyooka vyediii!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Aisifuye mvua imemnyea🀣
 
Bhana Mlongo hata sahivi watu wana enjoy JF, kukulana watu wanakulana km kawaa,

Jf ina wakaka wazurii bhanaa, wamenyooka vyediii!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Mlongo hunichani nikaelewa vizuri bhanaa 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…