Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu we acha tu, na kipindi kile Jamiiforums ilikuwa ina operate virtually, na watu wengi walikuwa wanashusha nondo za nguvu zile quotes zako na reactions kwa Member ndio zilikuwa zinaleta ukaribu. Halafu watu wengi humu walikuwa wana misimamo kwenye hoja. Majukwaa yalikuwa yamegawanyika kabisa. Members fulani ni MMU, Members fulani ni Siasa, Members fulani walikuwa kwenye jukwaa la dini. Sio siku hizi uzi wa Siasa unaanzishwa hata kwenye jukwaa la Sports. Kuaminiana ndio kulikuwa kunaanzia hapo.
Bhana Mlongo hata sahivi watu wana enjoy JF, kukulana watu wanakulana km kawaa,

Jf ina wakaka wazurii bhanaa, wamenyooka vyediii!! [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Aisee humu JF Kuna nini.

Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.

Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi

Naipenda JamiiForums mno
Mimi nimepona huu ulevi wa jf.
Poleni wagonjwa mliosalia
 
Mbona lipo had sahivi, sema nafas ya kuingia kulee ni taabu.

Wajanjaa tupo na tunasererekaa naloo, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Acha kunipiga fix,hilo jukwaa lilishafutwa muda mrefu Sana halipo kabisa.
Au Basi nitumie screenshot ya like jukwaa nione
 
Bhana Mlongo hata sahivi watu wana enjoy JF, kukulana watu wanakulana km kawaa,

Jf ina wakaka wazurii bhanaa, wamenyooka vyediii!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Aisifuye mvua imemnyea🤣
 
Bhana Mlongo hata sahivi watu wana enjoy JF, kukulana watu wanakulana km kawaa,

Jf ina wakaka wazurii bhanaa, wamenyooka vyediii!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Mlongo hunichani nikaelewa vizuri bhanaa 🤣
 
Back
Top Bottom