Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

Aisee humu JF Kuna nini.

Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.

Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi

Naipenda JamiiForums mno
Haupo pekeako Kuna Muda wife huwa anakasirika sababu ya Mimi kutulia na kua busy busy na simu jamii forum..
 
Back
Top Bottom