Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

Aisee humu JF Kuna nini.

Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.

Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi

Naipenda JamiiForums mno
Kazi inaendelea....
 
Mmekumiss pia Mtani.

Mtani naona mmeanza kupiga piga chafya. [emoji12][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona michoshoo tyuuh, sijaona mtu wa maana.
Afu usajiri bila kocha, si uchuroo huu.
 
Nimeona mna hadi Debora Mtani [emoji23][emoji23][emoji23] Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumewaiga nyie, si mlikua mna DA Joyce, c tumemleta DA Debora,
Hatutaki kupitwaa kabisaa, Woiiiiiih
 
Mkuu umejiunga 2019 leo 2024 una post 3k tu halafu unasema upo addicted kweli😂😂😂😂.
Watu walio addicted wamejiunga mwaka huu na tayari wana post 20k kuendelea. Kila uzi wanatembea nao. Kila ukifungua uzi unapata coment yake pale.
Labda ni mpenz msomaji.

Kuna wengine wana posts nyingi ila ni ushubwada mtupu.
Kuna bwanamdogo saivi kapigwa ban, ana ujuha wa namna hiyo.
Comments zake kwenye uzi mmoja unazikuta hata 50+ ila zote ni ujinga ujinga tu.
 
Back
Top Bottom