MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.
Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani.
Kanisa nilikuwa nasali hapo mwanzo hata Kama umevaa nguo za michezo wao hawana time na mtu kabisa.
Nitarudi baada ya ibada.