Niko hapa kanisani kwa sasa wasabato nimevaa jeans, waumini wenzangu wananiona Kama Antichrist.

Huyu muongo bwana
Kwa wanaume huwa kanisa halihangaiki na mavazi...labda wadada upige mini hasaaaa ile ya kuaibisha ndo watakushangaa.
Shetan me mwenzio msabato tangu kichanga
Huyu atakuwa kanisa la wapi huenda alikuwa ana yake
 
Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.

Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani.
Kanisa nilikuwa nasali hapo mwanzo hata Kama umevaa nguo za michezo wao hawana time na mtu kabisa.

Nitarudi baada ya ibada.
TUPE MREJESHO ILIKUWAJE
 
Tatizo ujafunga zipu mzee
 
Back
Top Bottom