MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Utuombee.Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.
Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani.
Kanisa nilikuwa nasali hapo mwanzo hata Kama umevaa nguo za michezo wao hawana time na mtu kabisa.
Nitarudi baada ya ibada.
Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.

Huenda kweliMhh huu uongo mkubwa
Mkuu kumbe wewe ni msabato pamoja na hekaheka zako za kanda ya Kusini π π π πUsijishtukie.
Nipo kanisan pia, nmevaa Kadet, shati nmechomekea nimekuja mikono kiasi, ndevu nmeziachia ,nywele kipilipili.
Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.
Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani.
Kanisa nilikuwa nasali hapo mwanzo hata Kama umevaa nguo za michezo wao hawana time na mtu kabisa.
Nitarudi baada ya ibada.
Ni kweli ww ni mchawi wameshakustukiaLeo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.
Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani.
Kanisa nilikuwa nasali hapo mwanzo hata Kama umevaa nguo za michezo wao hawana time na mtu kabisa.
Nitarudi baada ya ibada.
Ibada huanza Tokea kuzama kwa Jua hadi kuzama kwa jua.Ibada za sabato zinaanzaga sa nne
Ebwanaaa eeehh Tena Leo tunafunga KambiMkuu kumbe wewe ni msabato pamoja na hekaheka zako za kanda ya Kusini π π π π
Mkuu sheria za kisabato unaziweza kwel?Ebwanaaa eeehh Tena Leo tunafunga Kambi