Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

Biashara bila kuwepo ni kamari tu, uaminifu wetu ni wa kutilia mashaka sana mkuu, kwa sasa watu sio waaminifu hata kidogo, kusipokuwa na uangalizi wa karibu sana utaanguka put.
 
Acha ujinga mkuu.. nunua COIN za mtandaoni hutahitaji kufanya kazi nyingine!

Ukinunua mfano coin inaitwa CORE ukafanya kitu tunaita delegation, unakuwa unapata dola za kutosha kila mwezi hukupesa yako uliyowekeza ikibaki kama ilivyo.

Ni pm ukitaka kujua zaidi
Kirahisi tu hivyo? Ukute wewe hujawahi fanya hicho unachomshauri mwenzako afanye!
 
Acha ujinga mkuu.. nunua COIN za mtandaoni hutahitaji kufanya kazi nyingine!

Ukinunua mfano coin inaitwa CORE ukafanya kitu tunaita delegation, unakuwa unapata dola za kutosha kila mwezi hukupesa yako uliyowekeza ikibaki kama ilivyo.

Ni pm ukitaka kujua zaidi
Kila mtu angenunua coin unadhani hata hiki chakula tunachokula kutoka kwa hawa so called wajinga (wakulima) tungekula hizo coins baada ya kuzinunua ?

By the way huyu wa Pharmacy au Huduma za Kifedha na wewe Speculator..., ni nani anaongeza value kwenye Jamii

To each their own...
 
Habari zenu wakuu,

Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank).

Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji mda wote eneo la kazi?

Changamoto na faida zake.

Asanteni.
Upo mkoa Gani na unataka biashara yako iwe kwenye ukubwa Gani mkuu
 
Mnaosema milioni 30 haitoshi mtaji wa pharmacy mko serious kweli? Hizo pharmacy mnafungua wapi hadi 30 M isitoshe tena kwa kuanzia??

Kodi za majengo mengi ya Pharmacy ni 400k - 600k. Ukilipa miezi sita hapo ni 3.6 M pamoja na dalali weka 4.0 M. Marekebisho madogo madogo pamoja na kuweka A.C, shelves, fridge, DDA box, viti, Desktop, Management System, CCTV Cameras, Bango kubwa la kuwaka, Benchi la Wateja, usajili (ambao kwa retail ni 450k), mfamasia, dispenser/technician, mzani etc. vyote hivyo vipe 11 M. Mzigo wa kuanzia wa 15 M mbona ni mkubwa tu unless uwe hujui dawa gani zinatembea.

Wengi wetu bado tuna ule uzamani kwamba Pharmacy lazima iwe ina shelves za vioo etc. Kuna minimalistic designs nyingi tu za Pharmacy kwa kutumia shelves nzuri sana za mbao zinazoifanya pharmacy ionekane classy na imejaa na hivyo kuvutia wateja.

Milioni 30 isitoshe kufungua Pharmacy? Ahhhh aisee.​
 
Acha ujinga mkuu.. nunua COIN za mtandaoni hutahitaji kufanya kazi nyingine!

Ukinunua mfano coin inaitwa CORE ukafanya kitu tunaita delegation, unakuwa unapata dola za kutosha kila mwezi hukupesa yako uliyowekeza ikibaki kama ilivyo.

Ni pm ukitaka kujua zaidi

Kwenye bold ndio penyewe 😁 . Kwa nature ya binadamu alivyo mbinafsi, ni ngumu sana mtu anaepiga hela somewhere aje akuite na wewe muungane kupiga hela. Ukiitwa kwenye fursa nenda, ila proceed with caution.
 
Yani huyo ameandika kitu ambacho hata yeye hajawahi kukifanya! Hawa watu wa pesa za mitandaoni wanapenda kushauri wenzao waingie huko na ilihali wao hawana hata mia na hawajawahi kupata faida🚮🚮
 
Pharmacy ni pasua kichwa, inaweza kukutia mardhi ya presha kama masihara, Ila majibu yake ni makubwa zaidi, kwa hiyo kwama upo tayari ku take high risk go for it. ila pia ndani ya mda mchache mtaji wote unaweza poteza.
Changamoto zake ni nini??
 
Yani huyo ameandika kitu ambacho hata yeye hajawahi kukifanya! Hawa watu wa pesa za mitandaoni wanapenda kushauri wenzao waingie huko na ilihali wao hawana hata mia na hawajawahi kupata faida🚮🚮
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mnaosema milioni 30 haitoshi mtaji wa pharmacy mko serious kweli? Hizo pharmacy mnafungua wapi hadi 30 M isitoshe tena kwa kuanzia??

Kodi za majengo mengi ya Pharmacy ni 400k - 600k. Ukilipa miezi sita hapo ni 3.6 M pamoja na dalali weka 4.0 M. Marekebisho madogo madogo pamoja na kuweka A.C, shelves, fridge, DDA box, viti, Desktop, Management System, CCTV Cameras, Bango kubwa la kuwaka, Benchi la Wateja, usajili (ambao kwa retail ni 450k), mfamasia, dispenser/technician, mzani etc. vyote hivyo vipe 11 M. Mzigo wa kuanzia wa 15 M mbona ni mkubwa tu unless uwe hujui dawa gani zinatembea.

Wengi wetu bado tuna ule uzamani kwamba Pharmacy lazima iwe ina shelves za vioo etc. Kuna minimalistic designs nyingi tu za Pharmacy kwa kutumia shelves nzuri sana za mbao zinazoifanya pharmacy ionekane classy na imejaa na hivyo kuvutia wateja.

Milioni 30 isitoshe kufungua Pharmacy? Ahhhh aisee.​
Biashara za Jf mtaji huwa hautoshi humu, hata ukiwa na milioni unaambiwa kaongezee kwanza hiyo haitoshi.....

Humu mil 8 haupati kiwanja 😹
 
Pharmacy 20-25 unafungua modest pharmacy, unaendelea kuikuza taratibu kadri ya mahitaji ya wateja
 
Back
Top Bottom