Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

⚠️ Magonjwa Yanayowezekana:

1. Herpes Genitalis (Herpes Simplex Virus - HSV):

Vipele au vidonda vinavyouma sana.

Hutoa majimaji, halafu hupasuka na kuwa vidonda.

Huambukizwa kwa kugusana na ngozi wakati wa ngono au hata foreplay tu.



2. Gonorrhea au Chlamydia (kwa kiwango kikubwa):

Ingawa haya huathiri zaidi njia ya mkojo, yanaweza kuambatana na vipele au usaha ukeni/kwa mwanaume.

Maumivu wakati wa kukojoa yanaweza kuwepo pia.



3. Syphilis (Kaswende):

Vidonda visivyo na maumivu mwanzoni, lakini baadae huuma.

Ikiwa haitatibiwa huweza kuwa mbaya sana kwa mwili mzima.

Hadi sasa naweza sema 80% unaumwa herpes ..... wahi hospital
 
Acha ujinga kulialia na kujichoresha mitandaoni. Toka nje, panda boda haraka kuelekea Bugando ukapate tiba.
 
Hahahahaha nimechka utafikiri mazuri, kwanini ulivyobutua usiende kujipooza kwa mkeo? ona sasa umebutuliwa, na ukae huko mpaka gonjwa lako lipone usimpelekee mtoto wa watu matatizo
 
sema mademu wengi ukikutana nao road warembooo hadi unawaogopa ila ukiwavua sasa ni majanga mara UTI,GONO,sijui mapele ,maabonde na vitu kibao kwenye pussy zao
 
Shukurani mkuu nimeambiea ni Herpes dawa walizonipa ni dox kwa siku 14
 
Badala ya kwenda kula raha na mkeo unamwacha ili ukapate UKIMWI Vizuri.

Pumbavu, anza kutumia ARV mpaka utakapong'ata shuka.
 
Nenda bugando ukatibiwe kama bado mpunga upo. Siku nyingine ukipata hela kafurahi na familia yako.
 
Viluilui 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…