Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Umepata pesa, badala ndiyo ufurahie na mkeo. Unaenda tafuta mtu anajiuza hata kinyaa huna, ona sasa yaliyokukuta. Huitaji pole ni umeyatafuta mwenyewe. Anayetakiwa kupewa pole ni mkeo. Wewe upambane na hali
Ugonjwa naambiwa Hauna tiba inabidi nipewe tu pole mkuuUmepata pesa, badala ndiyo ufurahie na mkeo. Unaenda tafuta mtu anajiuza hata kinyaa huna, ona sasa yaliyokukuta. Huitaji pole ni umeyatafuta mwenyewe. Anayetakiwa kupewa pole ni mkeo. Wewe upambane na hali yako.
Mboso feat Jaivah -DoctorWakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.
Bado hutakiwi kupewa pole. Una mke ulienda kuhangaika na nini? Mbona wengine tukipenda hatuoni kama huyo mtu, au nyinyi wenzetu huwa mnakuwa na mtu mmelazimishwa? Sipendi usaliti, umeenda hospitali? Pima kila kitu, usimpelekee mkeo magonjwa yako.Ugonjwa naambiwa Hauna tiba inabidi nipewe tu pole mkuu
Bantu Lady nigha osekele sana nyakwabhoKumbe nyie ndo mlienda parachichi lodge?
π π π mimi Mkurya wa mjini, nawaonea raha mnavyosogoa Kikurya na Sweet16Bantu Lady nigha osekele sana nyakwabho
Haya mtoto wetu, kwani hyo parachichi unaijua?mimi Mkurya wa mjini, nawaonea raha mnavyosogoa Kikurya na Sweet16
Hapo umeniacha Mwanza
Ukishakua na mke ile dudu inakua sio mali yako tena π€£π€£Bado uko kwa bed unafikiria utamwambia nini mkeo badala ya kuwahi hospitali
Achana na kaswende, UKIMWI upo! Usione rahisi mtu kusema ARV zipo ni kazi na huzuni mno pale unapopokea majibu ya HIV+Duh kumbe kaswende bado ipo? Dah
Ni sahihi sasa kwanini asiwahi hospitali kabla halijawa tatizo kubwaUkishakua na mke ile dudu inakua sio mali yako tena π€£π€£
Namuelewa sana jamaa kuwaza cha kumwambia mwenye mali yake π
Si ni ujinga wa hao wanaume? Ana mke wake kwanini anahangaika na waliobandika makope na kucha na mawigi, warudi nyumbani wawapendezeshe wake zao wawe kama hao wanaowatamani bar. Cha ajabu unakuta hahudumii hata mkewe ila pesa ya kununua wanawake na maradhi yao ipoMademu bwana. Unajua kabisa dude lako Lina vilui lui na na corrosive acid na Kila mtu akigusa hapo hapo matatizo yanaanza ila kwa makusudi unavaa mawigi, unaweka makope, unapaka ma makeup, unanyoa kipichjmanyoya hicho chenye matatizo, unavaa kofuli nyeupee, bambataa nalo limo, ona Sasa mnavyowatesa vijana hao kwa kuwauzia kwa makusudi tatizo hilo
Na wewe dogo acha kutumia mipira inayotolewa Bure kwenye ma gest , ma vyuo na vyoo vya ma bar zenye majina ya ndume sijui zana hizo hazina ubora zinapaduka lakini ukinunua kuanzia roughrider ni imara Sana. Na ukiibua dude lisilojulikana usiguse kabisa kwa MKONO dude lake unaweza kujifanganya kwa mpira lakini kidole kikawa na mchubuko kikawabeba. CAVEAT EMPTUR
Malayer ni malayer tu haijalishi ni wa dar ama arusha maana biashara zao ni moja na magonjwa ni yale yale jamaa yako alikutana na mbovu zaidi ambazo pia ziko sehemu nyingine mnapoweza kununuaMimi nilishaacha kuamini malaya wa mwanza! Kuna tukio alipigwa jamaa yangu halimanusura u**e ukatike .sijui hawajui kujisafisha vizur hata ivyo maisha ya mwanza kwa watu wenye vipato vyachini nitaabu
Siijui, nimecheka ulivyomwambia, ni wao ndiyo wameingia hapo π π πHaya mtoto wetu, kwani hyo parachichi unaijua?