Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

Laiti kama ingekuwa wake wote waelewa😂!
Mke unataka mbunye anakupa mgongo na msonyo kumamae.
 
🤣🤣🤣 Copy that
 
We ni kenge kweli, uzinzi tuu , uvivu wa kukaa na mkeo ona sas umpelekee gono konyo
 
Halafu hii herpes nimeambiea Haina dawa nikweli ? Madaktari mnisaidie ndugu yenu... Nimetoka kumuuliza Hadi "GROK" anasema hamna dawa.
Inayo bana,japo inategemea Kuna Herpes 1 na Herpes 2.
Dawa inayo,hata wajawazito hukutwa na herpes simplex virus 2 na wanapewa dozi kuitibu na inatibika.
Ni aina ya homa ya ini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…