Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

Hapo ni matatu
Mpox au herpes au Chancroid

Kazi unayo kama itakuwa ni Mpox au Chancroid
 
Kwa akili hisi kweli mtsbadili maisha ya taifa lenu au mfumo wa uongozi wa taifa lenu?
 
Hapo ni matatu
Mpox au herpes au Chancroid

Kazi unayo kama itakuwa ni Mpox au Chancroid
Kuna magonjwa mengine ya kisengesana qumamake wazungu sijui walikua wanatafuta nini mpaka wakayatengeneza
 
Hela uipatie Geita, afu ukatapanyie Mwanza? Kwani watoa huduma wa hapo Geita wangefaidikaje? Mkuu hii ni laana uliojitengenezea.
 
Kaswende [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ukivaa condoms usisahau kuvaa gloves
Kataa na kufanyiwa blowjob kabisa maana unaweza vaa gloves [emoji3451] na ndoma ukavaa hata 3 ila ukawa vulnerable sehemu ndogo sana lazima uishe...

Mwanetu aliamini ndomu ndo itamlinda [emoji23]
 
Hajampima hawezi kumwambia Kaswende kampimia wapi?
Pre-symptoms za kaswende ni pamoja na kutoka vipele sehemu ya kichwa cha uume venye kuwasha... That's why kuna watu wamemshauri akapime..

Angekua anatoka usaha na wakati wa kukojoa anapata maumivu makali tunge guess ni Gonorrhea as well sababu ndiyo symptoms zake..

So hapo akapime, ila tayari dalili zinaonyesha ameshapata STDs..
 
Sio kila kipele ni GONO au Kaswende mkuu, ushauri ni yeye kwenda kupima athibitishe labda ni malaria tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…