Niko na 510K Natafuta Simu Nzuri, Nisaidieni Kabla Sijaingizwa Mjini DSM Na Wingbacks.

Usisumbike, nipe mimi hiyo hela nikakununulie!

200.gif
 
510K
Kwa Tanzania 510K unapata Samsung Galaxy A34 mpya ya 128GB

Ukijitahidi kuna simu nzuri zaidi kwa kama laki 6 hivi jaribu tu kuzunguka Kariakoo na kutafuta "Xiaomi Redmi Note 13 Pro 5G", hapa naongelea ambayo kwenye boksi lake kabisa wameweka nembo ya 5G kabisa

Ukipanda hapo kuingia laki 6 na nusu kuna "Samsung Galaxy A35"
 
A34 na 35 sioni tofauti kubwa labda aongeze kidogo adake A54
 
Na kama anapenda pixel pia chukua hii 99%like new Hapo mjini pindou safirisha siku 10hivi utakua nayo mkononi
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-06-12-03-43-574_com.xunmeng.pinduoduo.jpg
    Screenshot_2025-06-06-12-03-43-574_com.xunmeng.pinduoduo.jpg
    170.9 KB · Views: 38
510K
Kwa Tanzania 510K unapata Samsung Galaxy A34 mpya ya 128GB

Ukijitahidi kuna simu nzuri zaidi kwa kama laki 6 hivi jaribu tu kuzunguka Kariakoo na kutafuta "Xiaomi Redmi Note 13 Pro 5G", hapa naongelea ambayo kwenye boksi lake kabisa wameweka nembo ya 5G kabisa

Ukipanda hapo kuingia laki 6 na nusu kuna "Samsung Galaxy A35"
ASante Sana Mkuu
X redmi note 13 uki compare na Galaxy A35, ipi inatoka juu.
 
Sasa sijui nishachelewa kukujibu
Ila A35 na Redmi Note 13 Pro 5G zinaendana sana isipokuwa Redmi ina kamera nzuri zaidi, ina sehemu ya kuchomeka earphone, kioo kizuri (slightly) na IR Blaster
A35 ina selfie cam nzuri na better Software update policy
 
Back
Top Bottom