Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahaha mkuu umerud kweli, nkajua ushanikataa mwanao.
Anyway, ahsante kwa ushaur...nashukuru kwa pongezi pia
Bando langu mkuu, jana lilikataUmeuliza ah?
HahahaBando langu mkuu, jana lilikata
Kamshitaki kwa mama Hellen Kijo Bisimba
Nimeanza kazi nikaapa sitatongoza tena ila sasa tamaa inaninyemelea tena kila skipita mfanyakazi natoa mate..Mkuu chuon kuna mengi sana.....lait tunayoyafanya vyuon wazazi halisi wangekua wanaona huko waliko basi wangekua dis appointed to the extent ya kutopeleka wadogo zetu vyuoni.
Ni funzo mkuu tusile tena malaya maana tukigusa tu asa hv tuna ukwaa
Safi sana.Huyo mwoneshe silaha kama korea
Ukilipasha moto, halichachi!Bando linataka kukata?? Ngoja nijiunge mkuu ntakuja kucomment
Ukimwi ni kama mafua tu... Acha uoga mtoto wa kiumeHaahahhahha Mkuu nmekula sana malaya akati niko college had nkahisi niko POSITIVE. NmeApa kutokuwala tena baada ya kupima mar mbili sehem mbili tofaut hv karibun na kujikuta niko salama.
Ila angekua dem wa kawaida maybe ningemla.
Mle tu Kwan kitu gan
Mbona unashtuka[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mbona unashtuka
Ha ha ha sio Mbaya sanaaNimeona mtafunano ndo mana