Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 42
- Thread starter
- #61
Ha ha ha ha nilidhani niko pekee yangu maana niliiangalia ile avatar mara mbili mbili ili kujua kulikoni na nikajua tu Shishi kaamua kuleta kasheshe na avatar yake. Shishi bora umeamua kuibadili.
BAK za siku nyingi? mbona kanitupa kakangu? eh!nanyi kazi kuchungulia avatar za watu.... ila nilijua tu itazua utata.....duh!! infact i kept looking kwenye ile thread ya avatar zibadilishwe kuona kama mtu kaigundua...and of course it didnt take long! ahahahhahahah