Niko nasikiliza TBC Taifa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali: Majibu ya moja ya swali ni hili

Niko nasikiliza TBC Taifa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali: Majibu ya moja ya swali ni hili

Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-

Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?

Sheikh kamjibu:-

Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎

Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu

Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
😀🤣🤣alimaanisha waarabu weusi
 
Kuna Dini mafunduishoyake ni kuwa : Kinachoitwa Dhambi Duniani, Mbinguni itakuwa halali, na ndio zawadi watakayopewa Watakatifu!
 
Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana 😅
Kila siku tunawaambia hizi dini ni za mchongo, hizi dini zote mbili ukristo na uislam sio asili ya muafrika, muafrika ana mila na tamaduni zake,kama uislam ni dini ambayo imemdharaulisha sana muafrika ila sasa waafrika huwaambii kitu kuhusu waarabu na wanajinasinisha na uarabu eti ndugu katika imani
 
Wanakuambia mtu anazaliwa akiwa ni muislam. Cha ajabu mafundisho ya uongo yameshika watu wengi sana duniani wanayaamini. Waislam huwa hawahoji mafundisho yao kama ni ya kweli au uongo. Mafundisho ya kikristo yenyewe tu yanamfanya muumini wake kuyaamini kwa hekima na busara sana huku yakimfanya muumini kuwa huru kuamini au kutokuamini yaani kuwa na akili ya kupambanua mafundisho ya kweli au uongo
 
Mimi nachojua mabikra 72 wananisubilia yani nimwendo wa kupeleka moto tu
 
Nilichogundua ni kuwa, Quran ni advanced book, ambapo mtu anatakiwa awe anaelimu nyingine ya kawaida ya darasani na Elimu ya foundation ya uislam Ndio aweze kusoma na kuielewa vizuri. Ni elimu inatakiwa hapa na sio kufunuliwa.
Sasa wasomi wetu wengi tu ni wale ambao hawana elimu nyingine, hivyo wanaposoma Quran wanashidwa kutafsiri sawasawa

Mfano; Quran imeelezea vizuri Solar system & Milky Way galaxy na kwamba zipo jumla ya 7 kwa kwenda juu. Inamaana sisi (ulimwengu) upo galaxy ya kwanza chini kabisa..... na mengine meeeeeengi...ila kama huna elimu nyingine huwezi kuelewa sawasawa...

Kuna Sura pia zimeandikwa KWA MIFANO tu zikielezea mambo mbalimbali mfano UZURI WA PEPONI kwa watakao fuzu; Unaweza kusoma kitu kama, kutakuwa na mito ya Asali, Maziwa nk nk nk kilicho maanishwa pale ni kuwa; vitu vingi/vyote binadamu wanavyopenda huku duniani vitakuwapo peponi na bila kiasi (bila kupimiwa), sasa hawa wasomi wasio kuwa na msingi wa Elimu ndio hupotosha watu.....
 
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-

Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?

Sheikh kamjibu:-

Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎

Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu

Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Hii HADITHI inachekesha 😃😃😃
 
Mkuu kama una swali lolote kuhusu raha za peponi niulize mimi...
 
kuna imani za aina mbili imani ya nadharia na imani ya yfahamu sasa bwana asilimia 90% watu wameweka imani kwenye kitu wasichokielewa badala ya kuweka imani kwenye kitu wanacho kifahamu

unajua kuweka imani kwenye kitu cha nadharia ni rahisi kudanganywa na kuweka imani kwenye kitu unachokifahamu uwezi kudanganyika.

sasa katika uhalisia kwenye Quran bila shaka hakuna sehemu walipo sema kuwa mbinguni watu watakuwa waarabu au weupe, na hakuna sehemu inayosema watakuwa waislam, na hakuna sehemu inayosema wataongea kiarabu hii inaonesha shekhe amekaa kwenye imani ya nadharia na sio kwamba anacho ongea anaufahamu nacho hii ni shida kubwa sana.

Mbinguni walicho aidiwa na kilicho andikwa kwenye quran ni wanawake 72 na pombe hakuna sehemu walipo ambiwa kuwa watakuwa waarabu, watakuwa weupe, watakuwa wanaongea kiarabu hakuna sehemu hii.

ni vyema kila mtu aweke imani kwenye kitu anachokielewa na kinachoeleweka mfano wakristo wameaidiwa uzima wa milele wakienda mbinguni kwanini ? kwasababu hapo mwanzo mungu aliwaumba wakiwa watu wanao weza kuishi milele ila baada ya kula lile tunda la ujuzi wa mema na mabaya ndipo wakaanza kufa kwahiyo mungu amehidi kurudisha uzima wa milele kwa watu wake umeona hapa inaeleweka vizuri ila huku kwa waislam hakuna sehemu kwenye Quran wanapo zungumzia kurudishiwa uzima wa milele ila waislam wameweka imani kwenye upande wa nadharia na sio kuelewa sasa wataenda kupewa bikra na pombe alafu watakufa kwa sababu hakuna ahadi hiyo.

kitu cha muhimu kweli kweli ni kuishi milele na sio pombe wala wanawake wala kuwa waarabu mtu mwenye akili timamu na aweke imani kwenye kitu unachokifahamu hivi vitu kwenye vlivyopo kwenye pepo ya allah ni sawa na vilivyopo club na kwenye vijiwe vya pombe ila watu wanafuata kwasababu wameweka imani yao kwenye vitu wasivyo vijua ni vya nadharia
Umeandika uzi wako vizuri lakini mimi napingana na wewe kwenye vitu viwili; Kwanza si kweli kwamba kwenye Quraan Mwenyezi Mungu hakuaidi uzima/uhai wa milele kwa wanadamu ukisoma Quraan katika zile aya ambazo Mwenyezi Mungu ameahidi pepo kwa waumini, nyingi Mwenyezi Mungu hutaja neema watakazopata peponi kisha humalizia na milele, maana kitu kishakuwa cha milele maana hakina ukomo na ili uzifaidi hizo neema unatakiwa uwe na uhai.

Pili unatakiwa ukumbuke kwamba mwaanadamu ni kiumbe wa matamanio kinachopenda starehe, wakati baba yetu Adam anamuasi Mwenyenzi Mungu alishushwa duniani na baada ya kushushwa duniani Mwenyezi Mungu akamwambia utaishi kutokana na muongozo nitakaowaletea huko duniani wewe pamoja na kizazi chako atakayefata amesalimika na atakaye ukata basi adhabu ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yake. Sasa katika miongozo ya Mwenyezi Mungu kuna jinsi ya kufanya ibada, maamrisho na makatazo yake, sasa ukiangalia kwenye makatazo mengi ni vile vitu ambavyo anavipenda mwanaadamu kama vile pombe na vitu vingine. Kwa hiyo kwa maisha haya ya dunia Mwenyenzi Mungu kavikataza ila wale watakafaulu baada ya maisha haya dunia kuzizuia nafsi zao kutokana na matamanio na kuzifata maamrisho ya Mwenyenzi Mungu basi hao ndio waliofaulu kwa hiyo Mwenyenzi Mungu ameawahidi kuwapa vitu vizuri na vile wanavyovitamani huko peponi, hakutakuwa tena na mipaka wala makatazo kwa vile walivyovitamani. Kumbuka masuala ya kuabudu na kuwekewa mipaka yanaishia duniani, Akhera ni malipo tu kama hukufuata maamrisho ya Mwenyenzi Mungu duniani utaenda motoni huko na kama ulifata utaenda peponi huko utapata starehe za maana ambazo hazina kikomo.
N.b ndio maana unaambiwa maisha haya ya duniani kwa muumini ni gereza.
 
Mzee mudi aliona warabu wanapenda sana ngono. Akawahiidi mambo hayo hayo.

Sip rahisi kumwongoa mpenda ngono bila ushawishi
Aisee waarabu wametuweza kwa kweli...eti unakuta mtu anajitoa muhanga kuua watu wasio na hatia kisa akapewe mabikra.
Mungu aumbe mtu halafu ampe mtu kazi ya kwenda kumuua ili ampe zawadi

Wakati yeye muumbaji anaweza akaamua kumchukua muda wowote anaotaka.

Inafikirisha sana
 
waache upumbavu wangefunguka macho Mungu hana rangi .ila Waafrika wafurahi maana wangejua baraka zote tumepata sisi hao waarabu wazungu wabaki kimya pamoja na wenzao waarabu weusi ... ila Yesu yupo dunian na amekuja kama mtu mweusi ili kuvunja kila aina ya utumwa wa mtu mweusi
 
Umeandika uzi wako vizuri lakini mimi napingana na wewe kwenye vitu viwili; Kwanza si kweli kwamba kwenye Quraan Mwenyezi Mungu hakuaidi uzima/uhai wa milele kwa wanadamu ukisoma Quraan katika zile aya ambazo Mwenyezi Mungu ameahidi pepo kwa waumini, nyingi Mwenyezi Mungu hutaja neema watakazopata peponi kisha humalizia na milele, maana kitu kishakuwa cha milele maana hakina ukomo na ili uzifaidi hizo neema unatakiwa uwe na uhai.

Pili unatakiwa ukumbuke kwamba mwaanadamu ni kiumbe wa matamanio kinachopenda starehe, wakati baba yetu Adam anamuasi Mwenyenzi Mungu alishushwa duniani na baada ya kushushwa duniani Mwenyezi Mungu akamwambia utaishi kutokana na muongozo nitakaowaletea huko duniani wewe pamoja na kizazi chako atakayefata amesalimika na atakaye ukata basi adhabu ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yake. Sasa katika miongozo ya Mwenyezi Mungu kuna jinsi ya kufanya ibada, maamrisho na makatazo yake, sasa ukiangalia kwenye makatazo mengi ni vile vitu ambavyo anavipenda mwanaadamu kama vile pombe na vitu vingine. Kwa hiyo kwa maisha haya ya dunia Mwenyenzi Mungu kavikataza ila wale watakafaulu baada ya maisha haya dunia kuzizuia nafsi zao kutokana na matamanio na kuzifata maamrisho ya Mwenyenzi Mungu basi hao ndio waliofaulu kwa hiyo Mwenyenzi Mungu ameawahidi kuwapa vitu vizuri na vile wanavyovitamani huko peponi, hakutakuwa tena na mipaka wala makatazo kwa vile walivyovitamani. Kumbuka masuala ya kuabudu na kuwekewa mipaka yanaishia duniani, Akhera ni malipo tu kama hukufuata maamrisho ya Mwenyenzi Mungu duniani utaenda motoni huko na kama ulifata utaenda peponi huko utapata starehe za maana ambazo hazina kikomo.
N.b ndio maana unaambiwa maisha haya ya duniani kwa muumini ni gereza.
watu wanaangamia kwa kukosa maarifa tuma hilo andiko linalosema mtapewa "uzima wa milele" kutoka kwenye Quran elewa swali langu

wewe hauna utofauti na huyo shekhe hapo anavyo kaa kuongea vitu ambavyo vipo katika nadharia na sio ufahamu hebu onesha wazi kuwa mtapewa uzima wa milele kama livyo oneshwa wazi starehe za wanawake na pombe onesha kitu kinacho onekana sio unakaa kwenye nadharia
 
Back
Top Bottom