Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Simu yangu imepasuka kioo eti humu ni Facebook au YouTube"
Ni chanel tenSimu yangu imepasuka kioo eti humu ni Facebook au YouTube"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu yangu imepasuka kioo eti humu ni Facebook au YouTube"
Ni chanel tenSimu yangu imepasuka kioo eti humu ni Facebook au YouTube"
Ndivyo anavyosema. Mimi nakuuliza, umesikia pia kutoka upande wa pili? Ndiyo au hapa? Kama hapana unajuaje kwamba anayosema mume ndiyo kweli na yale ambayo hujasikia ndiyo uwongo? Au niulize, ungekuwa na issue na mkeo na aka'share' mambo fulani kuhusu ndoa yenu, je ni sahihi watu waanze kukulaani kwa kusikia tuhuma za mkeo bila kusikia wewe unasemaje? Unaona hiyo ni sahihi au ndio utaratibu wa kuamua jambo kubwa kama hilo? Hebu nijibu hapo!Mkuu yeye alisema amepata ushahidi kwenye simu yake na kila kitu kiko wazi wapi mimi nimemhukumu? huo ndio ushauri wangu toa na wa kwako
Counselor kama umesoma vizuri msitari wa kwanza nimekuunga mkono hoja ya kutaka yeye afanye uamuzi kutokana na nafsi yake inataka nini.Mimi nimetoa ushauri wangu na ushauri uko based on taaluma ya "counselling". Kwamba unapomshauri mtu lengo lake siyo kumwambia aamue nini kuhusu, mfano, ndoa yake. Yeye ndiye mwenye ndoa na ndiye anayeamua. Kama lengo si hilo ushauri maana yake ni nini? Ni kwamba, mwomba ushauri kuna mambo yamemchanganya (yamechanganyikana), mshauri anatakiwa amchanganulie/ayachambue. Ni kama kusema alphabets A-Z zimechangantikana na mtu anaomba uziweke vizuri tena ili apate kuona mpangilio wake. Mimi nilichokifanya ni kuweka katika utaratibu huu: A,B,C,D, etc na kumwachia mhusika achague alphabets anazotaka. Wewe unachotaka ni mimi nimwambie "chagua C, X na Y ndizo zinazokufaa." Sasa huu siyo ushauri, bali ni kumchagulia mtu afanye nini katika shida yake. Hilo si jukumu la mshauri, jukumu la mshauri ni kutoa mwanga na kumwacha mhusika achague mwenyewe. Ukisoma counselling utapata counselling skills na utawasaidia watu wengi namna ya ku'deal' na matatizo yao na siyo kuamua wayatatue namna gani. Kwani nani huwa anakuamlia wewe namna ya kutatua matatizo yako? Huwa unayatatua wewe mwenyewe au watu wengine ndio huwa wanakutatulia matatizo yako? Kama huwa unayatatua mwenyewe, kwa nini unataka huyu ndugu umtatulie wewe tatizo lake? Linakuhusu? Umesikia pia upande wa pili unasemaje au umeamini for granted alichosema huyu ndugu? Haya ni maswali ya kujiuliza unapotoa au ombwa kutoa ushauri na usiegemee upande mmoja to the detriment of the other side. Huo ndio ujumbe wangu.
1. Hili suala linahusu watu wawili.Counselor kama umesoma vizuri msitari wa kwanza nimekuunga mkono hoja ya kutaka yeye afanye uamuzi kutokana na nafsi yake unataka nini.
Pamoja na hivyo nikatoa maswali ambayo anapaswa ajiulize kabla ya kufanya anachohisi nafsi yake unataka.
Ukiwa mshauri siyo vibaya kumpa mtu mtazamo tofauti kidogo ambao huenda alikuwa hajaufikiria au hajaona. Siyo kila jambo ambalo nafsi inakuambia ufanye ni zuri au ni uamuzi sahihi.
Huwezi kumwambia mtu anayetaka kujiua afuate nafsi yake inataka nini.
lazima aambiwe ubaya wa kujiua.
1. Kuna siku alikuja mtoto wa dada na mumewe, walikuwa wamekorofishana.Counselor kama umesoma vizuri msitari wa kwanza nimekuunga mkono hoja ya kutaka yeye afanye uamuzi kutokana na nafsi yake unataka nini.
Pamoja na hivyo nikatoa maswali ambayo anapaswa ajiulize kabla ya kufanya anachohisi nafsi yake unataka.
Ukiwa mshauri siyo vibaya kumpa mtu mtazamo tofauti kidogo ambao huenda alikuwa hajaufikiria au hajaona. Siyo kila jambo ambalo nafsi inakuambia ufanye ni zuri au ni uamuzi sahihi.
Huwezi kumwambia mtu anayetaka kujiua afuate nafsi yake inataka nini.
lazima aambiwe ubaya wa kujiua.
NJIAPANDA: Mke wangu alileta mchepuko wake kwangu wiki mbili wakitafuta mtoto, sasa anakaribia kujifungua!
Sina kawaida ya kushika simu ya mke wangu kwani nilikuwa namuamini kiasi kwamba sijawahi hata kufikiria kama atakuja kunisaliti. Nimeoa na ndoa yangu ina miaka 3 sasa, na Mungu ametujalia mtoto mmoja. Sasa hivi mke wangu ni mjamzito na ana mapacha wawili tumboni.
Wiki mbili zilizopita niliona kama mke wangu amebadilika. Alikuwa hana raha na kila nikitaka kuongea naye, anakuwa mkali, na hata kunifokea hadi kunitukana mbele za watu. Mimi nilijua ni ujauzito kwani ana mimba ya miezi nane, hivyo nilijishusha na kukaa kimya.
Lakini kuna kitu kilinichanganya, alikuwa karibu sana na simu yake. Alikuwa bize nayo kiasi kwamba hata chakula alikuwa hali. Ilionekana kama kuna mtu anachati naye. Kilichonishtua zaidi ni kwamba hakutaka mtu kugusa simu yake, hata mtoto akigusa simu, anakuwa mkali, anatukana hadi basi.
Mimi password yake nilijua muda mrefu, ila sikujisumbua naye kwani alijua siijui. Nilipoona mabadiliko, nikaamua kufuatilia kujua ni nini. Nikakuta analalamika kwenye meseji nyingi tu anazotuma kwa mtu mmoja, ambaye hajahifadhiwa kwenye simu. Mwanzoni, meseji zilikuwa zinazungumzia mambo ya ujauzito, baadhi zilikuwa zimefutwa, lakini ni kama alikuwa anamwambia kuhusu watoto wake na mambo kibao, ikionyesha kuwa yeye ndiye baba wa watoto na walionysha kuwa vizuri sana.
Baadaye nikaona Mke wangu alikuwa analalamika, "Utambarikije ndoa na mke wako wakati uliniambia umemuacha? Kwanini uliniambia nibebe mimba kama ulikua na mpango wa kumuacha huyo mwanamke?" Mwanaume alikuwa hajibu, hivyo anatuma meseji tu zaidi ya mia mbili analalamika ila hajajibiwa.
Kwa kweli nilipaniki, nikaamua kufuatilia, nikagundua kuwa hata kadi ya kliniki sijaandikwa mimi kama baba wa mtoto, amemuandika huyo mtu ambaye nilipofuatilia ni mtu namjua. Alishawahi kuja mpaka kwangu kipindi fulani, akaniambia ni baba wa rafiki yake. Aliniomba huyo baba aje kulala kwangu kwa sababu alikuja yuko kwenye matibabu, mpaka rafiki ayke ananipigia simu kunishukuru, akakaa kwangu wiki mbili. Najua alikuwa anaenda hospitalini Muhimbili kumbe ndiyo walikuwa wanatafuta mtoto.
Kwa maana kuwa kumbe walishangaika kupata mtoto kwa muda mrefu kwa sababu mwanaume yuko mkoani. Mke wangu ndiye aliamua kumkaribisha nyumbani ili iwe rahisi kwake kubeba mimba, kwamba wakati mimi niko kazini wao wanahangaika kupata mtoto. Na kwa kweli nilipoangalia tarehe, zinalingana na kipindia licjhobeba mimba.
Sijamuuliza mke wangu kitu chochote, bado nipo kimya. Wiki ijayo ndiyo nampeleka kwao kwa ajili ya kujifungua kwani alisisitiza sana kuhusu mimi kumpeleka. Sasa najiuliza nifanye nini? Sina amani, sina raha, bado nimeshangaa. Hii mimba imenisumbua sana, amenitukana sana na kunidhalilisha sana, nilijua ni kisirani cha mimba kumbe hata si mimba yangu. Naomba ushauri, nifanye nini?
tunatolea ushauri kilichopo mezani mkuu.Ndivyo anavyosema. Mimi nakuuliza, umesikia pia kutoka upande wa pili? Ndiyo au hapa? Kama hapana unajuaje kwamba anayosema mume ndiyo kweli na yale ambayo hujasikia ndiyo uwongo? Au niulize, ungekuwa na issue na mkeo na aka'share' mambo fulani kuhusu ndoa yenu, je ni sahihi watu waanze kukulaani kwa kusikia tuhuma za mkeo bila kusikia wewe unasemaje? Unaona hiyo ni sahihi au ndio utaratibu wa kuamua jambo kubwa kama hilo? Hebu nijibu hapo!
tunatoa ushauri kwa kilicho jukwaani.Ndivyo anavyosema. Mimi nakuuliza, umesikia pia kutoka upande wa pili? Ndiyo au hapa? Kama hapana unajuaje kwamba anayosema mume ndiyo kweli na yale ambayo hujasikia ndiyo uwongo? Au niulize, ungekuwa na issue na mkeo na aka'share' mambo fulani kuhusu ndoa yenu, je ni sahihi watu waanze kukulaani kwa kusikia tuhuma za mkeo bila kusikia wewe unasemaje? Unaona hiyo ni sahihi au ndio utaratibu wa kuamua jambo kubwa kama hilo? Hebu nijibu hapo!
Mazingira hapa ni tofauti kabisa na mahakamani ndugu. Makamani huwa pande zote mbili zipo: 1) upande wa mashtaka (mlalamikaji) na 2) upande wa utetezi (mlalamikiwa), na mahakama inaweza kusema upande wa utetezi una kesi ya kujibu siyo kama hukumu, bali kwamba utetezi uweze kutoa ushahidi wake ili mahakama iweze kupima kama una nguvu au hapana na baada ya hapo ndipo mahakama huweza kutoa hukumu, lakini ni baada ya kusikiliza pande mbili. Mfano, hata kwa issue ya huyu ndugu yetu, kama mkewe naye angekuwepo (kwa kuweza kujibu hizi tuhuma), tungeweza kusema shemeji hapa kakosea ili tuweze kusikia upande wake pia na kwa kufanya hivyo tuweze kupima maelezo ya pande zote mbili. Lakini kusikia tu upande mmoja na kutoa uamuzi kwa madai kwamba "huo ndio ushahidi ulio mezani" ni totally wrong". Katika kutoa ufumbuzi wa tatizo hatuwezi kusikia tu upande mmoja na kutoa ushauri dhidi ya upande ambao haujasikilizwa na kama tukifanya hivyo tunakuwa harujatenda haki (hakuna natural justice), maana hata sisi tusingependa tuhukumiwe bila kusikilizwa. Ndiyo maana mimi sikutaka niseme ni upande upi umekosea, bali kwamba kama huyu ndugu yetu in the absence of ushahidi kutoka upande wa pili, kama anampenda mkewe, then ni vizuri akamsamehe, kwa maana kwamba yeye ndiye mwenye uamuzi wa kuachana au kuendelea kuishi na mkewe, lakini sisi jambo ambalo tunaweza kufanya in good faith ni kushauri "waendelee kuishi pamoja na mkewe", na kama hampendi/amekwazika kwa kiasi kikubwa (na ndivyo ilivyo), basi ni yeye pia anayeweza kuamua vinginevyo.tunatolea ushauri kilichopo mezani mkuu.
kama kuna maelezo mengine yataletwa.
Hata mahakamani hakimu/jaji akishasikilzia upande mmoja anasema una kesi ya kujibu au la kisha nakumbia andaa mashahidi.
H
Lakini kiko nusu. Utatoaje ushauri wakati umesikia tu upande mmoja? Mfano, ukisikia tu kwamba "X kaiba" utajuaje kaiba, na kama hujui huo ushauri unaoutoa unakuwa umelenga nini? Tunaaswa siku zote, "in the absence of certainty suspend judgement".tunatoa ushauri kwa kilicho jukwaani.
😂😂Lakini kiko nusu. Utatoaje ushauri wakati umesikia tu upande mmoja? Mfano, ukisikia tu kwamba "X kaiba" utajuaje kaiba, na kama hujui huo ushauri unaoutoa unakuwa umelenga nini? Tunaaswa siku zote, "in the absence of certainty suspend judgement".
Mkuu hata kuna wakati mahakama inalazimika kutoa Hukumu baada ya kusikiliza upande mmoja.Lakini kiko nusu. Utatoaje ushauri wakati umesikia tu upande mmoja? Mfano, ukisikia tu kwamba "X kaiba" utajuaje kaiba, na kama hujui huo ushauri unaoutoa unakuwa umelenga nini? Tunaaswa siku zote, "in the absence of certainty suspend judgement".
yye asome kisha ataamua cha kufanyaMazingira hapa ni tofauti kabisa na mahakamani ndugu. Makamani huwa pande zote mbili zipo: 1) upande wa mashtaka (mlalamikaji) na 2) upande wa utetezi (mlalamikiwa), na mahakama inaweza kusema upande wa utetezi una kesi ya kujibu siyo kama hukumu, bali kwamba utetezi uweze kutoa ushahidi wake ili mahakama iweze kupima kama una nguvu au hapana na baada ya hapo ndipo mahakama huweza kutoa hukumu, lakini ni baada ya kusikiliza pande mbili. Mfano, hata kwa issue ya huyu ndugu yetu, kama mkewe naye angekuwepo (kwa kuweza kujibu hizi tuhuma), tungeweza kusema shemeji hapa kakosea ili tuweze kusikia upande wake pia na kwa kufanya hivyo tuweze kupima maelezo ya pande zote mbili. Lakini kusikia tu upande mmoja na kutoa uamuzi kwa madai kwamba "huo ndio ushahidi ulio mezani" ni totally wrong". Katika kutoa ufumbuzi wa tatizo hatuwezi kusikia tu upande mmoja na kutoa ushauri dhidi ya upande ambao haujasikilizwa na kama tukifanya hivyo tunakuwa harujatenda haki (hakuna natural justice), maana hata sisi tusingependa tuhukumiwe bila kusikilizwa. Ndiyo maana mimi sikutaka niseme ni upande upi umekosea, bali kwamba kama huyu ndugu yetu in the absence of ushahidi kutoka upande wa pili, kama anampenda mkewe, then ni vizuri akamsamehe, kwa maana kwamba yeye ndiye mwenye uamuzi wa kuachana au kuendelea kuishi na mkewe, lakini sisi jambo ambalo tunaweza kufanya in good faith ni kushauri "waendelee kuishi pamoja na mkewe", na kama hampendi/amekwazika kwa kiasi kikubwa (na ndivyo ilivyo), basi ni yeye pia anayeweza kuamua vinginevyo.