Niko njia panda, ushauri unahitajika

Ushauri mzuri mkuu,cha kwanza ngoja nifunguke kwa wazee najua watanifukuza na wazee wa huyo binti watanisusia
 
Hakika mkuu kuzaa mapema raha sana, japo huwa inatokea bila kupanga.

Mimi hapa wenzangu watoto wao wako nursery wengine hata shule hawajaanza, wakati mwenzao naona kabisa sio muda idadi ya kununua pedi inataka kuongezeka kwa nyumba
 
Rafiki kumwaga ndani kuna rahaa yake wee acha tu
 
Daaa nacheka ila naogopa...nitamwaga nje..
 
Hakika mkuu kuzaa mapema raha sana, japo huwa inatokea bila kupanga.

Mimi hapa wenzangu watoto wao wako nursery wengine hata shule hawajaanza, wakati mwenzao naona kabisa sio muda idadi ya kununua pedi inataka kuongezeka kwa nyumba
Hongera sana
 
Reactions: Luv
We jamaa kiazi kweli! Acha kulialia....tafuta pesa muda wote na soma muda wote, hilo boom kula hata buku kwa siku....
 
Raha sana aisee unasahau kila kitu unahisi unamiliki dunia, baada ya mwezi unajikuta unamiliki stress kwa hao wanafunzi

Sisi wazee hatuna tabu, twajilia raha tu
Mambo haya mpaka najuta bora ningebaki chaputa
 
Ushauri mzuri mkuu,cha kwanza ngoja nifunguke kwa wazee najua watanifukuza na wazee wa huyo binti watanisusia
Huwezi kufukuzwa acha uoga. Muite mdingi wako kiutu uzima mweleze hilo jambo kwa utulivu. Ukute nae alikuwa anasubiria mjukuu kwa hamu.

Mie nilivyomwambia dingi enzi hizo aliniuliza tu ni kweli mimba ni yako nikamwambia nina uhakika 100% akasema ngoja nikawaweke sawa wazazi wake. Akaenda kuongea nao mambo yakaisha hivyo nikawa nahudumia mzigo ukiwa unakaa kwa wazazi wake.
Wazazi wako lazima watakuwa upande wako kwa kuwa atakayezaliwa na mjukuu wao. Ondoa woga waeleze tu
 
Sawa mkuu,,angalau presha imeshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…