Pharm D
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,235
- 3,008
Kwahyo umekua kigego sasa dhambi huogopi tena si ndio?Mhhh mbona hatari na nusu wazee...bora aitoe tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo umekua kigego sasa dhambi huogopi tena si ndio?Mhhh mbona hatari na nusu wazee...bora aitoe tuu
Ushauri mzuri mkuu,cha kwanza ngoja nifunguke kwa wazee najua watanifukuza na wazee wa huyo binti watanisusiaNani aliyekwambia umefanya kosa? Kumpa mimba binti ukiwa chuo wala sio kosa. Kuna faida nyingi sana kama ukija kumuoa huyo binti na mkaendeleza familia yenu. Mimi nilimpa mimba mke wangu nikiwa second year chuo na nilikuwa na wasiwasi ila nikapiga moyo konde akazaa mtoto na baada ya miaka mitatu nikamuoa. Kwa sasa nina miaka 43 mtoto wangu yuko chuo kikuu nje ya nchi mwaka wa pili (umri kama wako). Nasubiri amalize apate kazi. Wenzangu ambao tuko umri sawa vitoto vyao ndio viko la saba kwa sasa. Nakaribia kuitwa babu kama mwanangu nae akitembelea nyota yangu ya ngono zembe
So dogo lea mimba waambie wazazi na uje kumuoa huyo binti faida utaziona baadae. Watu wengi wanaanza kusomesha watoto chuo wakati wanakaribia kustaafu. Wewe utamaliza kusomesha mtoto ukiwa 45 kisha una-concentrate na maendeleo mengine. Na asikwambie mtu kusomesha kazi sana ukilifanya mapema kutokana na kupata watoto mapema utatoboa kimaisha
Hakika mkuu kuzaa mapema raha sana, japo huwa inatokea bila kupanga.Nani aliyekwambia umefanya kosa? Kumpa mimba binti ukiwa chuo wala sio kosa. Kuna faida nyingi sana kama ukija kumuoa huyo binti na mkaendeleza familia yenu. Mimi nilimpa mimba mke wangu nikiwa second year chuo na nilikuwa na wasiwasi ila nikapiga moyo konde akazaa mtoto na baada ya miaka mitatu nikamuoa. Kwa sasa nina miaka 43 mtoto wangu yuko chuo kikuu nje ya nchi mwaka wa pili (umri kama wako). Nasubiri amalize apate kazi. Wenzangu ambao tuko umri sawa vitoto vyao ndio viko la saba kwa sasa. Nakaribia kuitwa babu kama mwanangu nae akitembelea nyota yangu ya ngono zembe
So dogo lea mimba waambie wazazi na uje kumuoa huyo binti faida utaziona baadae. Watu wengi wanaanza kusomesha watoto chuo wakati wanakaribia kustaafu. Wewe utamaliza kusomesha mtoto ukiwa 45 kisha una-concentrate na maendeleo mengine. Na asikwambie mtu kusomesha kazi sana ukilifanya mapema kutokana na kupata watoto mapema utatoboa kimaisha
Rafiki kumwaga ndani kuna rahaa yake wee acha tuPole kwa kipindi hiki cha ujauzito aanze kuuza viurembo vya kike chuoni like hereni, makeup etc.
Wewe pangilia muda anza kuuza nguo za mtumba za kike hapo chuoni kwako.
Anzieni hapo mengine yatajiweka sawa mbele. Muache utoto nyie ni wazazi watarajiwa.
Siku nyingine mwaga nje.
Daaa nacheka ila naogopa...nitamwaga nje..Pole kwa kipindi hiki cha ujauzito aanze kuuza viurembo vya kike chuoni like hereni, makeup etc.
Wewe pangilia muda anza kuuza nguo za mtumba za kike hapo chuoni kwako.
Anzieni hapo mengine yatajiweka sawa mbele. Muache utoto nyie ni wazazi watarajiwa.
Siku nyingine mwaga nje.
Raha sana aisee unasahau kila kitu unahisi unamiliki dunia, baada ya mwezi unajikuta unamiliki stress kwa hao wanafunziRafiki kumwaga ndani kuna rahaa yake wee acha tu
Mzee dhambi lazima uogope..Kwahyo umekua kigego sasa dhambi huogopi tena si ndio?
Hongera sanaHakika mkuu kuzaa mapema raha sana, japo huwa inatokea bila kupanga.
Mimi hapa wenzangu watoto wao wako nursery wengine hata shule hawajaanza, wakati mwenzao naona kabisa sio muda idadi ya kununua pedi inataka kuongezeka kwa nyumba
Tena ogopa.....ikibidi muda wa kumwaga toka chumbani, kamwage nje ya geti hukoDaaa nacheka ila naogopa...nitamwaga nje..
Mambo haya mpaka najuta bora ningebaki chaputaRaha sana aisee unasahau kila kitu unahisi unamiliki dunia, baada ya mwezi unajikuta unamiliki stress kwa hao wanafunzi
Sisi wazee hatuna tabu, twajilia raha tu
Daaa aisee nitajitahidiTena ogopa.....ikibidi muda wa kumwaga toka chumbani, kamwage nje ya geti huko
[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo haya mpaka najuta bora ningebaki chaputa
Maziwa ya 30000 hayakai hata weekhuggies 30,000 week 1
Ukunga 150,000 gharama za bima bila bima 750,000
Cerelac 30,000
Maziwa 30,000 mwezi
Set ya nguo,bebishow, mabeseni, chupa za maziwa andaa 500,000
Usafiri 50,000
Vingine wataongezea wadau.Tafakari chukua hatua!
Huwezi kufukuzwa acha uoga. Muite mdingi wako kiutu uzima mweleze hilo jambo kwa utulivu. Ukute nae alikuwa anasubiria mjukuu kwa hamu.Ushauri mzuri mkuu,cha kwanza ngoja nifunguke kwa wazee najua watanifukuza na wazee wa huyo binti watanisusia
Daaa kweli sema mzee na ulcers sasa buku perday mzozoWe jamaa kiazi kweli! Acha kulialia....tafuta pesa muda wote na soma muda wote, hilo boom kula hata buku kwa siku....
Ngoja nianze mara moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo muda wa kujuta anza kutafuta pesa
[emoji38][emoji38][emoji38]Daaa kweli sema mzee na ulcers sasa buku perday mzozo
Sawa mkuu,,angalau presha imeshukaHuwezi kufukuzwa acha uoga. Muite mdingi wako kiutu uzima mweleze hilo jambo kwa utulivu. Ukute nae alikuwa anasubiria mjukuu kwa hamu.
Mie nilivyomwambia dingi enzi hizo aliniuliza tu ni kweli mimba ni yako nikamwambia nina uhakika 100% akasema ngoja nikawaweke sawa wazazi wake. Akaenda kuongea nao mambo yakaisha hivyo nikawa nahudumia mzigo ukiwa unakaa kwa wazazi wake.
Wazazi wako lazima watakuwa upande wako kwa kuwa atakayezaliwa na mjukuu wao. Ondoa woga waeleze tu