Niko njia panda, ushauri unahitajika

Mbona mnanitisha sasa wakuu!!!
Next time tumieni Kinga hii kujidaganya eti unawahi kuzaa mapema sijui usilee uzeeni ni kujidaganya tu maisha sikuhizi yamechange everything is expensive tofauti na zamani tukiwa tunakua maisha yalikuwa simple tu ukienda hata shule za kawaida elimu nzuri, sikuhizi tu chekechea milion, bado mtoto kuumwa Mara nyingi hzo gharama, wewe mwenyewe utakuwa fresh graduate sikuhizi no jobs ka sikujitesa na kumtesa huyo mtoto ni kitu gani.
 
Kwa hiyo atoe????
 
Daa kweli kinga manzi hataki aisee this time around bora nipige puli kama hataki
 
Na sasa hivi pampas zimepanda bei kazi unayo...maziwa ya SMA bei ya kopo ni elfu 45-50 na linatumika kwa wiki moja tu.bado mazaga mengine hapo..pole sana
 
Kwa hiyo atoe????
Kashafanya mistake next time awe makini akijidaganya kumtumia mifano ya wahenga eti zaa mapema blah blah atakuja kutesa kizazi chake kwa umaskini tu
 
Peleka ujinga wako huko
Wakati unaenda kuto....mbn. ulituambia
Pambana na hali yako mzee
Hivi hii tabia ya wanafunzi kufanya ngono mtaacha lini?
 
Peleka ujinga wako huko
Wakati unaenda kuto....mbn. ulituambia
Pambana na hali yako mzee
Hivi hii tabia ya wanafunzi kufanya ngono mtaacha lini?
[emoji23][emoji23]
 
Mi nakupa ushauri wa jina la mtoto atakaezaliwa,mwite Degree Kalovha!! Hilo ndiyo Bonge la kumbukumbu lako hilo litakua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…