Niko njia panda

agent 89

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
10
Reaction score
6
Habari wana jf,

Natuamina wote mko poa humu ndan.

Mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua vizuri tu nampenda na yeye kwa upande wake naona anaonyesha upendo na kunijali kwan kila nikimhitaj nae huonyesha ushirikiano, miezi kama miwili sasa imepita toka nlivyomwonyesha interest ya kumuoa na kumvalisha pete it was a very good day since hapo alizidi kunipenda sana ...till yesterday...
naandika thred hii nkiwa nko njia panda naomben ushauri,

Jana nlimtoa dinner mida ya kama saa moja ivi tulikua maeneo ya msasani kwa eddo,.the moments where so fine till mida ya kama saa nne kasoro aliniomba anaenda toilet ila aliacha sim yake pale mezan, haikuchukua dk 5 sms kwenye sim yake iliingia na ujumbe mzito ambao uliharibu mood yangu yote kwa siku ile.

To cut it short the gal ambaye nmemvisha pete miez miwili iliyopita ana watoto 2 nje na wako kwa bibi yao..kinachoniuma zaidi since nmeanza mahusiano na huyu dada amekua akikana kwamba anamtoto japo kuna baadhi ya ishara nliziona mwili ila akawa anakataa kabisa. so nmekua na jiuliza maswali kama ameweza nidanganya hivi vipi huko mbele napotaka kwenda nae 😰.
 
ushagundua ana watoto wawili,then bado unatafuta ushauri??
Acha kuutafuta umasikini kwa tochi kijana.
 
Hilo ni ghaka 💯 yani janamke linalokataa watoto kisa kuolewa ni ovyo kabisa.Yaan ni mshenz sana huyo.....Nini maana ya kuitwa mama,Ivi wamama tuna tamaa na ndoa kias hiki mpaka tukane watoto😭😭😭😭 mi moyo umeniuma sana.Embu huyo mkaribishe ghetto nialike kupiga,tupige tumwachie alama usoni...mjinga huyo.Ndo maana unakuta mtoto ukubwani anamchukia mzazi wake pasipo kujua history yake tunalaumulaumu TU.Mshenz huyo😏😠
 
Hamjaenda mbali sana !! Kama unaona hutaweza kulea mtoto asiye wako !! Mwache aende kama upo tayari na unaona binti anafaa kuwa mke jitose !!
Halafu miezi sita mmewahi sana !! Kama huko nyuma hakuwahi hata kuwa rafiki yako ! Pia na wewe una haraka sana maana umri unakutupa mkono ! Tuliza akili
 
Umri wake bado bhana 33....sema kufanya maamuz hapo simshauri sababu uongo umetangulizwa mbele....ilitakiwa awekwe Waz tangu mwanzo Ili achague
 
Miezi 6 ni mifupi mno kwenye mahusiano, hakufanya vizuri kukuficha ilibidi akuweke wazi mapema, maamuzi ya mwisho unayo wewe mwenyewe ukiwa kama Mwanaume.
 
Mtu ana watoto wawili hayo maziwa si yameshalala kama ndala!!!tatizo vijana wengi hamjapita jandoni ndio maana hamjui mambo,mimi mdada hata kama aliwahi kutoa mimba nikimuona tu akiwa uchi namjua,sembuse watoto wawili khaa
 
Sijaiona njia panda unayoisema hapo, umeshajua ana watoto wawili yaani Ukiendelea naye ukamuoa unakuwa umefungwa 2-0, uchumba sio ndoa, Pete ya uchumba si Pete ya ndoa, halafu aliyezaa mbona rahisi tu kuwatambua.
 
Niliwahi kua na demu,three times nakutana nae,anagoma kutoa blaa! Nilipiga chini ndani ya wiki 2 tu!
 
Single mother siwawezi, most of them, na sitaki, nisiwe mnafiki...
Wengi wenu huwa mnajipa matumaini kwamba watoto wao wakikua watakuja kukuheshimu kuliko baba yake mzazi, kwa pesa zote ulizowekeza kwa watoto hao siku moja utaambulia ahsante na kwaheri.
Kwa nini uwekeze pesa zako kwa someone else’s genes, sana sana hao watoto baadae hawatokuheshimu, kumbuka those kids are carrying another man’s genes...

Kitu kingine fanya uchambuzi yakinifu kwa nini huyo mwanaume aliyemzalisha hajamuoa, she may seem sweet and loving initially in an effort kukupumbaza , but you never know who she really is until uki tia sign huo mkataba wa ndoa ndipo utajua hujui, halafu inakua too late mzee...

Jua kabisa yupo single kwa sababu maalumu, sasa we ukamvisha na pete kabisa, usi risk your time and money kwa mtu ambae si mwaminifu... utaumia


Ukiniuliza kama kuna single mother wazuri? wapo ndio, lakini sijawahi kuona au kukutana nao....
Ngoja single mothers wa JF waje, hakuna logic ni emotions tu, lakini ndio ukweli nakuambia, epuka single mother at any cost, wanakuja ku comment hapa jiandae kudanganywa..
 
Sijaiona njia panda unayoisema hapo, umeshajua ana watoto wawili yaani Ukiendelea naye ukamuoa unakuwa umefungwa 2-0, uchumba sio ndoa, Pete ya uchumba si Pete ya ndoa, halafu aliyezaa mbona rahisi tu kuwatambua.
Ahhh acha nicheke,uchumba sio ndoa.
 
Nahitimisha kusema usibebe mzigo usio wako.
 
Sijaiona njia panda unayoisema hapo, umeshajua ana watoto wawili yaani Ukiendelea naye ukamuoa unakuwa umefungwa 2-0, uchumba sio ndoa, Pete ya uchumba si Pete ya ndoa, halafu aliyezaa mbona rahisi tu kuwatambua.
kuna ishara nlisha ona kaka nyingi tu nikimuuliza anakataa..
nmekwelewa man💪
 
kuna ishara nlisha ona kaka nyingi tu nikimuuliza anakataa..

nmekwelewa man💪
Brother atakuchelewesha huyo, mabinti wako wengi hapo tu umejua anawatoto wawili bado haujajua kama Kila mtoto na baba yake, utazimia wewe sepa acha kuzubaa ulipokuwa unamuuliza anakataa Kwa kutoa sababu gani kwamba maziwa yameshuka yenyewe??
 
Brother atakuchelewesha huyo, mabinti wako wengi hapo tu umejua anawatoto wawili bado haujajua kama Kila mtoto na baba yake, utazimia wewe sepa acha kuzubaa ulipokuwa unamuuliza anakataa Kwa kutoa sababu gani kwamba maziwa yameshuka yenyewe??
acha tu kaka...kipengele...ila ukimwona ukiambiwa hajazaa unakubali mpaka umvue nguo ndo utajua na ni maziwa tu kidgo ndo...
 
Kama amekuficha na kuwakana watoto wake mwenyewe ,achana nae Usikaribishe moto wa gesi ndani wakati unajua kuna petrol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…