agent 89
Member
- Aug 26, 2016
- 10
- 6
Habari wana jf,
Natuamina wote mko poa humu ndan.
Mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua vizuri tu nampenda na yeye kwa upande wake naona anaonyesha upendo na kunijali kwan kila nikimhitaj nae huonyesha ushirikiano, miezi kama miwili sasa imepita toka nlivyomwonyesha interest ya kumuoa na kumvalisha pete it was a very good day since hapo alizidi kunipenda sana ...till yesterday...
naandika thred hii nkiwa nko njia panda naomben ushauri,
Jana nlimtoa dinner mida ya kama saa moja ivi tulikua maeneo ya msasani kwa eddo,.the moments where so fine till mida ya kama saa nne kasoro aliniomba anaenda toilet ila aliacha sim yake pale mezan, haikuchukua dk 5 sms kwenye sim yake iliingia na ujumbe mzito ambao uliharibu mood yangu yote kwa siku ile.
To cut it short the gal ambaye nmemvisha pete miez miwili iliyopita ana watoto 2 nje na wako kwa bibi yao..kinachoniuma zaidi since nmeanza mahusiano na huyu dada amekua akikana kwamba anamtoto japo kuna baadhi ya ishara nliziona mwili ila akawa anakataa kabisa. so nmekua na jiuliza maswali kama ameweza nidanganya hivi vipi huko mbele napotaka kwenda nae 😰.