Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

Umesahau wana ziwa (Singidani), pia ka mji ni kadogo kama jiji la Dar (kama inafanana na Dar why yenyewe isiwe jiji?)

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hujaitembea singida bado...singida ni mkoa mkubwa ila sehemu kubwa ya ardhi ya singida haikaliwi na watu ni mapori na nyika!! Kutoka singida mjini mpk kuelekea upande wa magharibi kuugusa mkoa wa manyara itakuchukua zaidi ya masaa 4 kutembea kwa gari/basi. Wilaya ya mkalama ni kubwa mnoo!!
 
Wewe utakuwa umetoka kati ya mikoa hii Geita, Rukwa, Katavi au Lindi ndo unashangaa kwa nini Singida sio jiji
 
Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja, mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.

Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.

Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.

Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.

Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.

Natanguliza shukrani.
Singida inazalisha msosi gani mkuu kiasi cha kulisha robo tu ya Tanzania?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nietembea robo tatu ya mikoa ya tanzania
Hapa nipo geita mjini ila mji siuelewi kabisa
Huu ni mkoa au wilaya
Mitaa yake haisomeki
Ghorofa la otonde ndio kivutio pekee cha huu mkoa
Magogo, ,nyankumbu,shelabela,mkoani,ggm, kote ovyo tu,stendi zero kabisa.barabata za mitaa vumbi,hakuna mji pale
Upuuzi mtupu. Taja barabara za vumbi hapo katikati ya mji wa Geita vinginevyo wewe ni mburula mtoa uharo tu nyau wewe
 
Nietembea robo tatu ya mikoa ya tanzania
Hapa nipo geita mjini ila mji siuelewi kabisa
Huu ni mkoa au wilaya
Mitaa yake haisomeki
Ghorofa la otonde ndio kivutio pekee cha huu mkoa
Magogo, ,nyankumbu,shelabela,mkoani,ggm, kote ovyo tu,stendi zero kabisa.barabata za mitaa vumbi,hakuna mji pale
🤣🤣
 
Ukute ametoka arusha huyu c bure maana hawajui vigezo vya manispaa kuwa jiji
 
Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja, mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.

Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.

Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.

Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.

Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.

Natanguliza shukrani.
Pole
 
Back
Top Bottom