Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

Singida ni mji ulioko katikati ya Tanzania, barabara zote kuu kutoka Dar es Salaam mpaka mwanza, Moshi/Arusha mpaka Mwanza/Kahama, Mbeya kupitia Rungwa, Kwenda Itigi kuelekea Tabora/Kigoma. Serikali iufanye mji huu kuwa ni mji wa kimkakati kwa kuwa ni kiunganishi cha mikoa yote na uandaliwe kuwa jiji kubwa katikati ya nchi
 
Singida imejaaliwa madem wa kutombwa tu hakuna cha zaidi,huwa nikipita kwa gari sijisumbui kuzunguka kijiji(kamji)
 
Oh my God! Dont remind me of childhood memories. Singida is always in my heart.
Nakumbuka mwaka 1992 wakati naenda kuanzishwa darasa la kwanza shule ya msingi Utemini...
Nakumbuka siku moja moja baba akitupeleka Singida motel au Stanley motel kupata soda...
Nakumbuka miaka hiyo tukienda na baba kununua vijisamaki ziwa Singidani...
Nikifa, kama msiponizika Kola, Morogoro, basi mnizike Singida...
 
Shida iliyopo hapo Singapore ni low population, bad weather, low flow of money na mwisho watu wa Singapore ni wavivu.
Ila kwenye lami kasema ukweli, Singida municipality kila kona kuna lami tena quality kabisa japo hali ya hewa ni mpauko
 
Oh my God! Dont remind me of childhood memories. Singida is always in my heart.
Nakumbuka mwaka 1992 wakati naenda kuanzishwa darasa la kwanza shule ya msingi Utemini...
Nakumbuka siku moja moja baba akitupeleka Singida motel au Stanley motel kupata soda...
Nakumbuka miaka hiyo tukienda na baba kununua vijisamaki ziwa Singidani...
Nikifa, kama msiponizika Kola, Morogoro, basi mnizike Singida...
Stanley motel ipo mkp leo Sasa HV anaitwa Hali ngumu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimefifikoizika singida siyo kwa sababu ya mademu Bali uchawi na uloz wa uo mjini dah jmn hpn aise huwa naogopa hata kumuambia rfk angu kuwa Niko singida Bora nitaje ddm au babat angalau siyo singida

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hata Rumi haikujengwa siku moja. Kwani Arusha kuna stand ?
Arusha imeingiaje humu,tunajadili geita,mji umejaa vumbi mitaa haina lami,lami ni moja tu ya mwatolole naile ya kwenda nyankumbu,mnazidiwa hata na chato kijiji cha juzi tu kina stand kubwa na barabara safi
 
Back
Top Bottom