Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

Hujaitembea singida bado...singida ni mkoa mkubwa ila sehemu kubwa ya ardhi ya singida haikaliwi na watu ni mapori na nyika!! Kutoka singida mjini mpk kuelekea upande wa magharibi kuugusa mkoa wa manyara itakuchukua zaidi ya masaa 4 kutembea kwa gari/basi. Wilaya ya mkalama ni kubwa mnoo!!
 
Wewe utakuwa umetoka kati ya mikoa hii Geita, Rukwa, Katavi au Lindi ndo unashangaa kwa nini Singida sio jiji
 
Singida inazalisha msosi gani mkuu kiasi cha kulisha robo tu ya Tanzania?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Upuuzi mtupu. Taja barabara za vumbi hapo katikati ya mji wa Geita vinginevyo wewe ni mburula mtoa uharo tu nyau wewe
 
🤣🤣
 
Ukute ametoka arusha huyu c bure maana hawajui vigezo vya manispaa kuwa jiji
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…