Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

La-Ranger

Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
22
Reaction score
13
Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye connection zake anipatie.

Niko TAYARI kuairisha masomo na kujiunga nayo ata ikiwa kwa kujitolea maaana nilikua na tazamia kusoma sayansi ya kijeshi Lin sikupata nafasi.

Mwenye connection plz
 
Subiri jkt kujitolea watangaze nafasi ambazo hivi sasa wamesitisha, kafanye usaili ,halafu kila kitu utakikuta huko huko, ila unaweza kwenda ukapoteza 3 years kwenye kilimo na vibarua vya ujenzi halafu ukatoka kapa,
Kila mtu na bahati yake.
 
Daaaah..... miaka mitatu Alf utoke utupu si sawa na bure ndugu yangu japo kwel napenda sana maswala ya ulinzi
 
Daaaah..... miaka mitatu Alf utoke utupu si sawa na bure ndugu yangu japo kwel napenda sana maswala ya ulinzi
Bs in military intelligence, kusoma lazima kwanza uwe mwanajeshi, na processs za kuwa mwana jeshi lazima upitie jkt. Wenzako siunano wametumikwishwa kama punda miaka yote kwa ahadi ya ajira, mwisho wamebambikiwa uhaini
 
Acha uboya wewe wenzio wanatafuta elimu wewe unataka kuwa mlinzi, soma maliza tafuta michongo ya maana hata Harmonize ana walinzi , acha mawazo mgando soma maliza tafuta michongo aliyekwambia huko kwenye majeshi ndio wanataka watu waliodrop shuleni ni nani? Ajira japo zimekua ngumu ukiwa na vyeti vyako vinakusaidia hata connection mbalimbali, ushauri wangu achana na mawazo ya maulinzi hawana hata maisha mazuri hao watu
 
Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye connection zake anipatie.

Niko TAYARI kuairisha masomo na kujiunga nayo ata ikiwa kwa kujitolea maaana nilikua na tazamia kusoma sayansi ya kijeshi Lin sikupata nafasi.

Mwenye connection plz
Achana na ujinga wa kujitolea jkt, kaa usome acha uvivu wa kutesa ubongo
 
Nak
Acha uboya wewe wenzio wanatafuta elimu wewe unataka kuwa mlinzi, soma maliza tafuta michongo ya maana hata Harmonize ana walinzi , acha mawazo mgando soma maliza tafuta michongo aliyekwambia huko kwenye majeshi ndio wanataka watu waliodrop shuleni ni nani? Ajira japo zimekua ngumu ukiwa na vyeti vyako vinakusaidia hata connection mbalimbali, ushauri wangu achana na mawazo ya maulinzi hawana hata maisha mazuri hao Nakubal kaka
 
Bs in military intelligence, kusoma lazima kwanza uwe mwanajeshi, na processs za kuwa mwana jeshi lazima upitie jkt. Wenzako siunano wametumikwishwa kama punda miaka yote kwa ahadi ya ajira, mwisho wamebambikiwa uhaini
Iyo Bs.in military science kinatolewa chuo Cha kijeshi tu
 
Daaaah........Aya bwana kwhyo hakuna njia nyngne ya mtu kutoka chuo na kwenda kujiunga na jwtz au migration
 
Kuna mwenye update yeyote ya walioomba AJIRA POLICE mwaka 2021
 
Daaaah........Aya bwana kwhyo hakuna njia nyngne ya mtu kutoka chuo na kwenda kujiunga na jwtz au migration

Zile za polisi uliomba..??kwa kutumia chet cha form six..??
 
Kwanza wizara ya ulizi ina jeshi moja tuu JWTZ na JWTZ lina matawi ma 5 nayo ni Makao makuu,Nyika,Anga,Maji na Jeshi la kujenga Taifa.

Polisi,uwamiaji sio Jeshi izo ni idara ambazo zipo ndani ya wizara ya ndani na sio ulinzi mzee

By the way Uwezi lipata jeshi kama unalitaka jeshi usipolitaka ndo utalipata na linakuja lenyewe auto matically tulia.
Nipo kwenye iko chombo since 2001 nakushauri usiwe na papara
 
Kwa muandiko wako Ndugu ni wazi bado una papara ya maisha, Ulinzi wa Sasa ni wa kisasa unahitaji utulivu Sasa wewe utauweza kweli!!?? Kwa wenge ulilokuwa nalo!!??
 
Nakushauri umalize kwanza masomo maana hata huko unakotaka kwenda kunatakiwa watu wenye elimu zao! Kuwa mvumilivu kwa muda umalize masomo , baadaye utapata ajira kulingana na fani (taaluma) yako. Vyombo vya ulinzi pia sasa vinajizatiti kwenye tekechnolojia ambayo ndiyo kila kitu leo hii
 
Acha uboya wewe soma kwanza hao jamaa aliyekwambia ndio wanataka watu wasioenda shule ni nani
 
Acha uboya wewe wenzio wanatafuta elimu wewe unataka kuwa mlinzi, soma maliza tafuta michongo ya maana hata Harmonize ana walinzi , acha mawazo mgando soma maliza tafuta michongo aliyekwambia huko kwenye majeshi ndio wanataka watu waliodrop shuleni ni nani? Ajira japo zimekua ngumu ukiwa na vyeti vyako vinakusaidia hata connection mbalimbali, ushauri wangu achana na mawazo ya maulinzi hawana hata maisha mazuri hao watu

labda ndoto zake zipo huko acha atimize ndoto zake tu hakuna namna
 
Huyu kijana ndio wale mkipata bahati mnaanza kututishia njia unajuwa Mimi ni Nani😂😂😂😂 , tulia mdogo wangu relax soma kuwa mwaminifu, penda kujifunza na kuwa na juhudi katika kutaka kuelewa unaweza kuwa mtu bora kuliko hata huko majeshini, usitishwe na sare ila maisha ni magumu tena kwa mtu Kama wewe ambae hata shule huitaki utatumwa mpaka ujilaumu, raha ya Jeshi piga shule Tena soma zile course adimu adimu utajikuta unateleza kwenye ganda la ndizi tu kila siku we ni kupanda cheo tu Ila kwa akili zako ulizotuonesha hapa utaishia kulinda geti tu
 
Back
Top Bottom