Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

Kwanza wizara ya ulizi ina jeshi moja tuu JWTZ na JWTZ lina matawi ma 5 nayo ni Makao makuu,Nyika,Anga,Maji na Jeshi la kujenga Taifa.

Polisi,uwamiaji sio Jeshi izo ni idara ambazo zipo ndani ya wizara ya ndani na sio ulinzi mzee

By the way Uwezi lipata jeshi kama unalitaka jeshi usipolitaka ndo utalipata na linakuja lenyewe auto matically tulia.
Nipo kwenye iko chombo since 2001 nakushauri usiwe na papara
Bro hapa umenikosha sn aiseee!! Naomba nikudm kwnz
 
Back
Top Bottom