Niko ukweni kwa mapumziko ya Xmas, ninachokishuhudia hakielezeki

Haichoshii japo mwanzoni uliandika wake nikajua una wake wengi
 
Mchezo wa usambaa huko,na utakuwa na mafanikio sana ila ndo ushakuwa mwanga,ushabebeshwa miroho ya ajabu.Kuna mshikaji alipigwa zindiko hilo but mwisho wa siku akarudi home ghafla na kuchinja wazazi wake nadhan misukule ilimshawishi kiroho aue ili ibadilishe radha ya mboga(damu)
 
Yerewiiiiii
 
Back
Top Bottom