Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Kusema yuko dar??Mwanaume Unaomba 5000 Hapa Mjini,kweli Unatuabisha Wanaume Wa Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema yuko dar??Mwanaume Unaomba 5000 Hapa Mjini,kweli Unatuabisha Wanaume Wa Dar
Omba yasikukute...Mwanaume Unaomba 5000 Hapa Mjini,kweli Unatuabisha Wanaume Wa Dar
Ww inakuuma nini watu wengine wakimsaidia??kwani hum ndani wako dadazako zawajombazako ?mwanaume unakuwa mnafiki kama muuza baa.kama huna hela yakumsaidia kaa kimya .dodo nipe namba pm nikutumie 10,000 ila nakutumia asubui kupitia wakala so kwanambangu.Haaaaa Huyu jamaa yupo kwenye jukwaa lile la kubet aliomba kule wakakataa amekuja huku!!!!
Umeharibu muda wote huo kuandika upuuzi wenye kunuka usaha wa makalioni mwako!!Ww inakuuma nini watu wengine wakimsaidia??kwani hum ndani wako dadazako zawajombazako ?mwanaume unakuwa mnafiki kama muuza baa.kama huna hela yakumsaidia kaa kimya .dodo nipe namba pm nikutumie 10,000 ila nakutumia asubui kupitia wakala so kwanambangu.
OK pow .hongera sana .Umeharibu muda wote huo kuandika upuuzi wenye kunuka usaha wa makalioni mwako!!
Unatekenyeka kwa haya maandishi vipi ukipewa Mkuki si utajiuza mchana kweupe na dada zako mkiwa na vimini.
[emoji23] [emoji23] mkuu usitoe sumu, uzi lazima uwe na mikikimikiki sio uzi upooze kama tupo kilioni.Asijawah kuja humu hata siku moja nikaomba hela za kubet wala sijawahi kubet toka nizaliwe na wala sitokaa nifanye hivyo
Wewe uliyesema mimi nimeomba pesa za kubet mungu atakulipa hapahapa duniani
Naomba buku basi nikale hata mihogo kule Sanawari! Vyuma vimekazaNgoja waje, kuna wakati unaweza hisi dunia imekuangukia. Pole sana mkuu.
Amani sana mkuu huko ni kuchangamsha uzi usijali wala kuchukulia serious.lakini sio sawa kunizushia uwongo sijawah kujihusisha na michezo ya kubet wala sijawah omba pesa ya kubet
Mmh hadi wewe unakosa hela??!Pole mzee mi mwenyewe nilikua na njaa kali sana usiombe ukose hela hapa town aisee
Hahah Mambo yaliingiliana nikajikuta pabovu alafu mwanaume kuna mda hakai na hela kabisaMmh hadi wewe unakosa hela??!
nishapata mkuu
hayajakukuta wewe.Mwanaume Unaomba 5000 Hapa Mjini,kweli Unatuabisha Wanaume Wa Dar