Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Haaaaa Huyu jamaa yupo kwenye jukwaa lile la kubet aliomba kule wakakataa amekuja huku!!!!
Ww inakuuma nini watu wengine wakimsaidia??kwani hum ndani wako dadazako zawajombazako ?mwanaume unakuwa mnafiki kama muuza baa.kama huna hela yakumsaidia kaa kimya .dodo nipe namba pm nikutumie 10,000 ila nakutumia asubui kupitia wakala so kwanambangu.
 
Umeharibu muda wote huo kuandika upuuzi wenye kunuka usaha wa makalioni mwako!!

Unatekenyeka kwa haya maandishi vipi ukipewa Mkuki si utajiuza mchana kweupe na dada zako mkiwa na vimini.
 
Siku Nyingine Ukija Omba Msaada Weka Na Namba Yako Ya Simu Tuwe Tunakutumia Huko

Kiviere Wa Usangi
 
Asijawah kuja humu hata siku moja nikaomba hela za kubet wala sijawahi kubet toka nizaliwe na wala sitokaa nifanye hivyo
Wewe uliyesema mimi nimeomba pesa za kubet mungu atakulipa hapahapa duniani
[emoji23] [emoji23] mkuu usitoe sumu, uzi lazima uwe na mikikimikiki sio uzi upooze kama tupo kilioni.
 
Back
Top Bottom