Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
UTT n mfuko wa hisa

✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
✅Ukiweka hela weekend Jumamosi na jumapili utasubiri mpaka j4 ndo utaiona kwene acc yako ya UTT (48/72hrs)
✅Ukihamisha hela inachukua 24hrs ya siku za kazi kuonekana kwene acc
✅Faida hawaweki kila siku…Ila wataweka tu punguza waswas

🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%

1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000

KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20

🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi

10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka

Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
 
UTT n mfuko wa hisa

[emoji736]Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
[emoji736]kutoa pesa inachukua siku 3
[emoji736]Unaweza chukua pesa zako muda wowote
[emoji736]Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
[emoji736]Haina makato ya kila mwezi kama benk
[emoji736]Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
[emoji736]Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote

Ahsante umelaisisha soma la utt....manaake nikama deposite account za benki?
 
UTT n mfuko wa hisa

[emoji736]Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
[emoji736]kutoa pesa inachukua siku 3
[emoji736]Unaweza chukua pesa zako muda wowote
[emoji736]Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
[emoji736]Haina makato ya kila mwezi kama benk
[emoji736]Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
[emoji736]Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote

🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%

1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000

KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20

🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi

10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka

Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Suali langu hiyo UTT inamilikiwa na private sector kwa regulations za BOT au inamilikiwa na BOT kwa niamba ya serikali
 
Kwa hesabu ya haraharaka ili upate faida ya kueleweka kutoka huko UTT inakubidi uweke kuanzia milioni 50 ili angalau kila mwezi uwe unapata laki 5
Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.

Hapo utaona Faida ya Utt..lakini siyo kuchukua gawiwo kila mwezi.,
 
Ooh hapo nimekuelewa kumbe interest inakuwa inabadilika kwa formula ya compound interest hapo ina make sense.
 
Ooh hapo nimekuelewa kumbe interest inakuwa inabadilika kwa formula ya compound interest hapo ina make sense.
Naam mkuu,Compound interest ina maajabu makubwa sana..kwa kiswahili hujulikana kama faida jumuishi.

ikiwa na maana kuwa Mtaji unapo tengeneza faida kwa mwezi wa kwanza..ile faida itarudi kwenye mtaji na kuwa mtaji Anzia..ule mtaji anzia utatengeneza tena faida kwa mwezi unao fuata,ile faida itaungana na mtaji na kuwa Mtaji anzia tena,,hvyo faida itakuwa inabadilika kwa kukua kila mwezi...hivyo ukiachq kwa wastani wa miaka kumi utakuwa mbali mnoo..

Tofauti na anaye chukua faida kila mwezi,mtaji haukui na kile anacho kichukua kinabakia constant.
 
Mimi nimewekeza hapo ila hiyo 12% sijawahi Iona naona ni kama wanaingiza 8.9% kila mwezi
Kuna kias kinabaki kwenye mtqji wako mkuu..angalia vizuri. Hawaingizi yote asilimia 12,lakini kuna amount inabakia kwenye capital yako ya uwekezaji
 
Mkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu
 
Back
Top Bottom