Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Basi wafanye ku update pia kwenye website yao hayo mabadiliko, coz watu wanasoma yaliyoandikwa kwenye website ili kuwapa muongozo ni mfuko gani ni sahihi kwa kuwekezaNadhani ni ukata wa fedha sina uhakika, mwaka jana katikati rafiki yangu aliambiwa na rafiki yake kua sasahivi UTT hawana fedha unakaa hadi siku kumi ndio upate hela, mimi nikapuuza nikadhani ni uzushi, mwaka jana November had December nilitoa kama mara tano, zote nilipata hela baada ya siku tano had wiki
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mambo yanawezz yakawa magumu zaidi