Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Uliyoyaandika hapo juu ni sahihi ila kuna sehem nakurekebisha au kuongezea

Yes Riba ndio wastan wake huo kati ya 10 % hadi 12% na hii ni kwa kifuko yote waliyonayo ndan ya kupindi cha miaka 10 iliopita.. yaan maana yake kuna mwaka itapiga 10% na kuna mwaka itakwenda hadi 14% au 15% mfano mwaka jana kuna mifuko ilipiga 14% na kuna mifuko ilipiga 12% mwaka huu ile iliopiga 12 minginr imekwenda had 12.9% au 14% na ile iliopiga 14% imeshuka hadi 12%

So ili kuwa conservative we chukulia UTT inakupa 10%. Flat kila Mwaka.

Pili umeongelea kupata 1% kila mwez kwa maana ya kuigawa 12% ya mwaka.. kiuhalisia kama utajiunga na Bond au Jikimu utapata magawio ya kila mwez kwa bond na ya kila robo mwaka kwa Jikimu ILA HUPEWI 1% ya faida.. utapewa kati ya 0.7% hadi 0.86% maana yake kama umeweka miliona 10 kwa bond kila mwez utapata kati ya 80,000 hadi 90,000 na sio laki moja

Maana yake ni kuwa kwa mwaka mfuko unaweza kuwa umeingiza faida ya 12% ila wewe ukipiga hesabu ya magawio yako utaona umepokea around 8% hadi 9% hi ni sababu % zilizobaki zinakava vitu vifuatavyo

1. Gharama za uendeshaji. Maana yake kuna vipoint vya silimia ya faida UTT wanachukua kama service charges

2. Kuna vipoint vya asilimia ya faida
Vinarudishwa kwenye mtaji wako kukuza mtaji. Ndio maana ukiweka 10m pamoja na kuchukua faida kila
Mwez ila Mtaji wako bado unaongezeka utajikuta mwisho wa mwaka uko na 10M na laki kadhaa.. plus ile faida uliyokuwa unabeba kila mwezi

Kwa sasa ili upate faida ya 100k kila mwez we weka 12M na sio 10M

yote kwa yote mifuko ya aina ya UTT ni moja ya uwekezaji bora zaidi mtu anaweza akafanya.. kama taifa tumechelewa kuanzisha hii mifuko sasa hivi ndio inachipukia mingine ila ni mifuko ambayo ingewainua maskin wengi

by the way kwenye maisha tuna trade mda wetu kwa fedha.. mtu atasema kwa 10m ninaweza kuanzisha biashara ya kunipa 100k had 300k kwa siku ila utaona ameangalia mtaji wa pesa tu hajaangalia mtaji wa mda.

Kwa mfanyakazi mwenye ajira anayetafuta mrija wa kipato cha pili ..asikimbilie kuwekeza kwenye biashara itakayompa kipato sawa na mshahara anaopata akifanya hivyo ni lazima akubali upande mmoja uathirike mda ni ulele.. bora awekeze kwenye uwekezaji wa muda mrefu target ziwe 20 years baadae awe na uwezo wa kuishi kutokana na gawio.. sehemu ya mshahara itupe UTT afanye kama
Fixed deposit italinda thaman ya pesa yame
""2. Kuna vipoint vya asilimia ya faida
Vinarudishwa kwenye mtaji wako kukuza mtaji. Ndio maana ukiweka 10m pamoja na kuchukua faida kila
Mwez ila Mtaji wako bado unaongezeka utajikuta mwisho wa mwaka uko na 10M na laki kadhaa.. plus ile faida uliyokuwa unabeba kila mwezi""

Moja wapo ya character ya open ended mutual fund kama UTT ni charge free.

Sasa hizi cost ZA NINI??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kuna mifuko tofauti na performance yake inatofautiana kulingana na aina ya mfuko … asilimia 12 sio lazima inaweza fika hadi 14, inategemea na sio mifuko yote inawekeza kwenye hisa kwa kiasi kikubwa mingine imejidhatiti kwenye hati fungani za BoT
Mutual fund kukupa 14% RIR halafu bongo badoooo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
""2. Kuna vipoint vya asilimia ya faida
Vinarudishwa kwenye mtaji wako kukuza mtaji. Ndio maana ukiweka 10m pamoja na kuchukua faida kila
Mwez ila Mtaji wako bado unaongezeka utajikuta mwisho wa mwaka uko na 10M na laki kadhaa.. plus ile faida uliyokuwa unabeba kila mwezi""

Moja wapo ya character ya open ended mutual fund kama UTT ni charge free.

Sasa hizi cost ZA NINI??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukisoma terms za UTT utaona kuna charges na kimsingi kwenye MF charges hazitaki kuzidi 2.5% ya gharama za jumle za uendeshaji

Kuuza vipande ndio free sio gharama za kukuwekezea pesa yako.. kumbuka mwisho wa siku UTT sio saving ccount ile ni biashara kama biashara zingine ndio maana unatengebeza faida .. so meneja wa mfuko ambaye kimsingi ndio ana mamage investment yako kuna gharama ataingia ambazo ni lazima uchangie.. haiwezekani wakafanya free .. gharama atazikava nani haina.. UTT sio service ambayo serikali inatoa kusema wanapata ruzuku..
 
UTT n mfuko wa hisa

✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
✅Ukiweka hela weekend Jumamosi na jumapili utasubiri mpaka j4 ndo utaiona kwene acc yako ya UTT (48/72hrs)
✅Ukihamisha hela inachukua 24hrs ya siku za kazi kuonekana kwene acc
✅Faida hawaweki kila siku…Ila wataweka tu punguza waswas

🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%

1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000

KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20

🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi

10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka

Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Safi sana sasa nawekaje hela hela kwenye hiyo liquid fund. Nini milion 243 zipo kwenye simtank langu hapa home ngoja zizalishe
 
Umeandika nini?

Umesoma course gani?
Nina
1. Masters of Science in Finance and Investment
2. Bachelor of Science in Economics and Finance.

Unadhani kipo ambacho sielewi kwenye money market??

Unajua maana ya NO LOAD FUND??
Is COST FREEEEEE

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nakupa ukweli ulivyo. Ukiwekeza mwisho wa mwezi unapokea 0.888256% ya hela uloweka si 1%. Ila mtaji wako unaongezeka.
 
Nakupa ukweli ulivyo. Ukiwekeza mwisho wa mwezi unapokea 0.888256% ya hela uloweka si 1%. Ila mtaji wako unaongezeka.
Mada ilikuwa ni "Cost incoured by investor for the fund operation""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sasahivi ukitoa hela kwa mfuko wa LIQUID FUND unasubiri had siku tano tofauti na miaka ya nyuma ilikua siku mbili au tatu unakuta pesa yako katika bank account
Mabadiliko haya yametokana na nini?
 
UTT n mfuko wa hisa

✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
✅Ukiweka hela weekend Jumamosi na jumapili utasubiri mpaka j4 ndo utaiona kwene acc yako ya UTT (48/72hrs)
✅Ukihamisha hela inachukua 24hrs ya siku za kazi kuonekana kwene acc
✅Faida hawaweki kila siku…Ila wataweka tu punguza waswas

🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%

1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000

KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20

🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi

10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka

Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Umechambua clear kabisa,mimi ni member wa utt kitambo kidg,uliyosema 💯 ni kweli
 
Back
Top Bottom