Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mimi ninazo 300 bado 100 tu mkuuKula mbususu wewe wachana na utt hiyo ni kwa wenye million 400 na kuendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninazo 300 bado 100 tu mkuuKula mbususu wewe wachana na utt hiyo ni kwa wenye million 400 na kuendelea
Ni rahisi sana mkuu, hata kwa simu kupitia menu yao ya *150*82#, Sema nakushauri nenda kwenye web yao usome vizuri ili ufanye maamuzi ya mfuko wa kuanza naoNamna ya kujiunga
Naomba web yaoNi rahisi sana mkuu, hata kwa simu kupitia menu yao ya *150*82#, Sema nakushauri nenda kwenye web yao usome vizuri ili ufanye maamuzi ya mfuko wa kuanza nao
Naomba web yao
uttamis.co.tz
Wanazifanyia nini pesa zote hizo wanazochangiwa, faida ni ndogo mno!Mfuko wa umma siyo private
Hii ni govt sectorSuali langu hiyo UTT inamilikiwa na private sector kwa regulations za BOT au inamilikiwa na BOT kwa niamba ya serikali
JIsomeee mkuu..wao ukiwapa pesa hawakai nazo,na wao wanaenda kuwekeza..faida wanayo ipata wanarudisha kwako..Wanazifanyia nini pesa zote hizo wanazochangiwa, faida ni ndogo mno!
Sasa mil 300 mzeta hapo sii unagegeda mke wa mtu kula wikend na pale udsm unajipatia threesome tuuMimi ninazo 300 bado 100 tu mkuu
Hiyo miaka 10 utakuwepo jumlisha 60?Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.
Hapo utaona Faida ya Utt..lakini siyo kuchukua gawiwo kila mwezi.,
Sijakuelewa.Hiyo miaka 10 utakuwepo jumlisha 60?
Hapo mchawi ni mfumko wa bei, au inflation,Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.
Hapo utaona Faida ya Utt..lakini siyo kuchukua gawiwo kila mwezi.,
Sawa iko chini ya wizara gani tasisi gani? Kua ya serikali haotoshi.Hii ni govt sector
Ni kwamba, hizo ni gharama za mitandao ya simu au wakala wa kuihamisha pesa lakini sio gharama za UTT kuweka pesa.Mkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu
Mkuu chukua hiyo milioni moja irisk kwenye kukopesha kinyamera kwenye kila ten weka riba ya 2000 kwa mwezi alafu fanya kwa mwaka uone itaingiza kiasi gani.UTT n mfuko wa hisa
✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%
1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000
KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20
🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi
10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka
Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
WAKIKUDABA UNAKOPESHA HAILETI UTATAMkuu chukua hiyo milioni moja irisk kwenye kukopesha kinyamera kwenye kila ten weka riba ya 2000 kwa mwezi alafu fanya kwa mwaka uone itaingiza kiasi gani.
Nb: The higher the risk the higher the return and vice versa
wanataka kuboost mtajiNaona Vodacom nao wameanzisha M WEKEZA. Nimetumiwa sms this morning.
Mwenye taarifa zaidi karibu utujuze
sijawai kuweka kwa kutumia simuMkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu