Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.

Hapo utaona Faida ya Utt..lakini siyo kuchukua gawiwo kila mwezi.,
Hiyo miaka 10 utakuwepo jumlisha 60?
 
Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.

Hapo utaona Faida ya Utt..lakini siyo kuchukua gawiwo kila mwezi.,
Hapo mchawi ni mfumko wa bei, au inflation,
 
Mkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu
Ni kwamba, hizo ni gharama za mitandao ya simu au wakala wa kuihamisha pesa lakini sio gharama za UTT kuweka pesa.

Hata kwenye benki ulizozitaja kwamba ni Bure, Bado Kuna gharama ya usafiri na muda utatumia kwenda benki, ni gharama.

Anachomaanisha mleta mada ni UTT kutokutoza pesa unapoweka pesa zako kwao.
 
Naona Vodacom nao wameanzisha M WEKEZA. Nimetumiwa sms this morning.
Mwenye taarifa zaidi karibu utujuze
 
Attachments

  • Screenshot_20241121_090207_Messages.jpg
    Screenshot_20241121_090207_Messages.jpg
    88.6 KB · Views: 13
UTT n mfuko wa hisa

✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote

🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%

1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000

KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20

🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi

10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka

Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Mkuu chukua hiyo milioni moja irisk kwenye kukopesha kinyamera kwenye kila ten weka riba ya 2000 kwa mwezi alafu fanya kwa mwaka uone itaingiza kiasi gani.

Nb: The higher the risk the higher the return and vice versa
 
WAKIKUDABA UNAKOPESHA HAILETI UTATA
 
Mkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu
sijawai kuweka kwa kutumia simu
Pia ni vizuri ungetuambia makato ni sh ngap

Maana hata kuingia Menu yao ni bure ila kama unatumia au umeunga na namba ya tigo.
Kama umeunga na mtandao mwingine wanakata 20.
Kwaiyo kama una sh 100 utaangalia mara 5 ni gharam ndogo.
So unachagua kati ya bure na gharama ndogo
 
Back
Top Bottom