Nikuletee nini kutoka Tanzania wewe uliepo Kenya?

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299
Mambo!

Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa?

Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania.

Tutumie hili jukwaa kutunufaisha kibiashara Kati ya mataifa yetu mawili haya kwa business opportunities zilizopo Kati yetu Tanzania na Kenya
 
Ni wazo nzuri, ila ungesema nini unacho, labda wajasiria mali kwenye mitandao watengeneze tovuti ambayo itakua inaorodhesha bidhaa adimu Kenya ambazo zipo Tanzania na bei yake, pia pia hivyo kwa upande wa Kenya ikiwemo na gharama za usafirishaji.
Nina uhakika kuna namna tunaweza kushirikiana kama wanajumuiya huku tukiendelea na utani wa jadi.

Kuna baadhi yetu tunapiga deals across that border hata leo hii.
 
Kama we n mwanaharakati wa boda unajua kabisa huwezi kwenda nakitu kule Kama huna Oda au kuja nakitu bongo Kama huna Oda japo vya Kenya n rahisi kuuzika huku kuliko vya huku kwenda navyo huko.

Ndomana nikataka mtu anipe deal la kumpelekea kitu ili nikifika kule nisipate shida ya kuuza na kuchukua kile ninachoona nitauza bongo yetu hii.

Nyanya ndo tunaanza maandalizi ya shamba pia na kitunguu Michele ipo kwasana tuu na vitu vinginevyo vya viwandani.
 
Nyanya ukiileta Kenya huwezi kosa market. Kumekuwa na uhaba mkubwa wa nyanya hapa Kenya.
 
Ni wazo nzuri, ila ungesema nini unacho, labda wajasiria mali kwenye mitandao watengeneze tovuti ambayo itakua inaorodhesha bidhaa adimu Kenya ambazo zipo Tanzania na bei yake, pia pia hivyo kwa upande wa Kenya ikiwemo na gharama za usafirishaji.
Nina uhakika kuna namna tunaweza kushirikiana kama wanajumuiya huku tukiendelea na utani wa jadi.

Kuna baadhi yetu tunapiga deals across that border hata leo hii.
Idea nzuri. Hata hili jukwaa linaweza kusaidi kwa nana moja au nyingine
 
Nyanya ukiileta Kenya huwezi kosa market. Kumekuwa na uhaba mkubwa wa nyanya hapa Kenya.
Nyanya mpaka uwe na mtu aliye tiyari kuchukua au dalali ambaye unamletea mzigo yeye anauza kulinganga na makubaliano yenu.

Vipi mchele huko maana kuna wahindi flani huwa wanasumbua, huwa wanataka nikija huko nwaletee yakwao yakula
 
Kuhusu mchele mkuu siwezi kujua, manake michele ya tz kiukweli sina ufahamu vizuri nayo..
Labda uorodheshe bei hapo kidogo unaweza ukakuta dili la kishua, mbona watu wapo kibao ambao wanatamani sana hizi opportunities
 
Nyanya mpaka uwe na mtu aliye tiyari kuchukua au dalali ambaye unamletea mzigo yeye anauza kulinganga na makubaliano yenu.

Vipi mchele huko maana kuna wahindi flani huwa wanasumbua, huwa wanataka nikija huko nwaletee yakwao yakula
Nimekwambia nyanya ndio ina uhaba sana. Wewe funga safari kuja Kenya ufanye market survey. Tembea kwenye masoko halafu piga deal na wafanyibiashara. Nyanya na vitunguu tayari Kenya inanunua kutoka Tanzania. Mambo ya mchele sina habari nayo.
 
Michele unauzika vizuri tuu Kenya ukipata wa kahama n deal hata wa mbeya sema wa mbeya Bei huwa juu Sana kununua Ila wa kahama unauzika kirahisi.

Hata mahindi pia
 
Mambo!

Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa?

Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania.

Tutumie hili jukwaa kutunufaisha kibiashara Kati ya mataifa yetu mawili haya kwa business opportunities zilizopo Kati yetu Tanzania na Kenya
Idea mzuri sana , tunengependa kujua Bei ya vituungu na nyanya . Kuna demand huku ya hizi bidhaa.
 
Ni wazo nzuri, ila ungesema nini unacho, labda wajasiria mali kwenye mitandao watengeneze tovuti ambayo itakua inaorodhesha bidhaa adimu Kenya ambazo zipo Tanzania na bei yake, pia pia hivyo kwa upande wa Kenya ikiwemo na gharama za usafirishaji.
Nina uhakika kuna namna tunaweza kushirikiana kama wanajumuiya huku tukiendelea na utani wa jadi.

Kuna baadhi yetu tunapiga deals across that border hata leo hii.
Safi sana MK254...hili ni wazo bora kabisaa..naamn hata geza ulolee atalipenda..mana huwa anawakaliaga kooni kwenye utani wa jadi..hahaha
 
Michele unauzika vizuri tuu Kenya ukipata wa kahama n deal hata wa mbeya sema wa mbeya Bei huwa juu Sana kununua Ila wa kahama unauzika kirahisi.

Hata mahindi pia
Mkuu kama una uhakika unauzika nakushauri uanze na huo
 
Sina muda wa kwenda mashineni kugombania Oda ya mchele sababu nakaa mbali na sehemu zinazolima mchele pili sijui naenda kumuuzia Nani.

Uwezi kununua kitu huku haujui na atakuwa mnunuzi wako hapo unaeza fanya kazi ya kanisa au kukata mtaji wa Biashara yako kwasababu ya unnecessary cost Kama kulala Gest muda mrefu wewe mwenye mzigo na timu ya gari zima, waiting charge ya gari la mzigo, na Mambo mengine ambayo hutokea papo kwa hapo pia ujue huko sio kwenu upo ugenini.

Mie hata nikipeleka mzigo Mwanza siwezi kwenda bila kuwa na Oda za kuanzia walau nusu mzigo Kama sio wote.
 
Kuna jamaa uwa wanapeleka mombasa kanzu za kinababa mtumba na mpya,misuli,kofia za kiustaash,madera ya kinamama,vitambaa vya kufuma vile vya kwenye makochi,kapeti flan hivi za kiswazi za mavitambaa vitambaa n.k,wanadai soko lipo kule
 
Back
Top Bottom