Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote utapata market, but lazima uwe na connection.Bila shaka ni treated au zafaa zote hata untreated kwa watu wa hali ya chini.
Bei ita vary due to different factors.kwa mfano Cypress 4x 2 utapata kwingine inauzwa @ 70ksh per foot hapa nimekupa base price which can go higher or lower .P
Size and price?
Nakumbuka kabla sijaja Tanzania, kuna jamaa yangu alikua anatengeneza hela kwa kufuata mbao Tanzania, zina demand sana maana kuna ujenzi kote kote na misitu yetu haitoshelezi, utapiga mwingi......
KENPAULITE i will appreciate that. Thank'sI see loads and loads of trucks kutoka tanzania zikileta mbao huku, will ask for you kwa one of the big dealers hapa
For construction site that the best deal kama ukipata, hata pia kwa supply sio mbaya sana.Demand ya mbao ni kubwa sana hapa Kenya .Kama itawezekana supply directly kwa construction sites hapo ndio utapata best deals.
The prices will vary depending on the type of timber .Cypress will tend to cost more than Graveria etc.
Timber yards that's best ideaAnother way is to supply to guys who own timber yards in Kenya
Angalau Leo tumekuja na \azo moja productive, kuliko majigambo na kuzodoana ...
Wazo zuri Sana
Inatakiwa connection ili upewe specs za hizo kirosho.Leta korosho Nairobi
Mbona unarudia rudia kukatazwa kukata miti huko kwenu, kitu hujaulizwa , Tz pia hukati mti bila kibali, watu wako na mashamba ya miti ya mbao huku.Kwa sasa sijui mtu yeyote. Lakini demand ipo. Kama una pesa unaweza kufunga safari na kuja Kenya kwa siku kadhaa na kusoma soko liko vipi. Huku haturuhusiwi kukata miti hovyo hovyo kwa hivyo mbao huwa tunatoa kwa majirani.
Mbona unaruka ruka ni kama umetiwa kidole? Unawashwa nini na nilichoandika?Mbona unarudia rudia kukatazwa kukata miti huko kwenu, kitu hujaulizwa , Tz pia hukati mti bila kibali, watu wako na mashamba ya miti ya mbao huku.
Za tit ze zezeta for you.Mbona unaruka ruka ni kama umetiwa kidole? Unawashwa nini na nilichoandika?
Nyie kweli ni mazezetas.Njoo tembeya kenya.Tume choka kuwaona omba omba kutoka inchi(Danganyi-ass) kilakitu wanacho.Kenya Kuna uhaba Sana wa chakula, Kuna shida kubwa mno ya chakula.
Kenya chakula ni anasa, watu wanakula mlo mmoja kwa siku tena chakula Cha hovyohovyo
Hivyo nakushauri nenda kawapelekee chakula, utapata sana pesa
Kenya mna uhaba wa chakula, huo ndio ukweli nilikuwa Nairobi siku chache zimepitaNyie kweli ni mazezetas.Njoo tembeya kenya.Tume choka kuwaona omba omba kutoka inchi(Danganyi-ass) kilakitu wanacho.
That is my take:
Zezeta mtu with epic topic discussing about wali, mlo mmoja!!!!!!!Kenya mna uhaba wa chakula, huo ndio ukweli nilikuwa Nairobi siku chache zimepita
Kuna shida mno ya chakula, watu wengi wanakula mlo mmoja
Chakula Cha Kenya ni kibaya, wali hauna hata ladha
Kenya kwenye chakula mna shida kubwa Sana ndio maana hata afya zenu hazipo sawa
Mpunga kilo moja shingi ngapi? Na pumba ya mchele?Hello wakenya niaje,
Kuna mahindi yanapatikana na mpunga unaeza jaza Isuzu moja Kama ukiamua uchukue nusu kwa nusu unakuwa na bidhaa mbili kwa truck moja anyone pliz njoo Kama upo serious.
Ulipata madealWazee leteni Mambo Ni kupambana sio Kenya Wala Tanzania kote kugumu niambie kipi Ni deal huko tutengeneze pesa