Sina muda wa kwenda mashineni kugombania Oda ya mchele sababu nakaa mbali na sehemu zinazolima mchele pili sijui naenda kumuuzia Nani.
Uwezi kununua kitu huku haujui na atakuwa mnunuzi wako hapo unaeza fanya kazi ya kanisa au kukata mtaji wa Biashara yako kwasababu ya unnecessary cost Kama kulala Gest muda mrefu wewe mwenye mzigo na timu ya gari zima, waiting charge ya gari la mzigo, na Mambo mengine ambayo hutokea papo kwa hapo pia ujue huko sio kwenu upo ugenini.
Mie hata nikipeleka mzigo Mwanza siwezi kwenda bila kuwa na Oda za kuanzia walau nusu mzigo Kama sio wote.