Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Ni wazo nzuri, ila ungesema nini unacho, labda wajasiria mali kwenye mitandao watengeneze tovuti ambayo itakua inaorodhesha bidhaa adimu Kenya ambazo zipo Tanzania na bei yake, pia pia hivyo kwa upande wa Kenya ikiwemo na gharama za usafirishaji.
Nina uhakika kuna namna tunaweza kushirikiana kama wanajumuiya huku tukiendelea na utani wa jadi.
Kuna baadhi yetu tunapiga deals across that border hata leo hii.
Nyanya ukiileta Kenya huwezi kosa market. Kumekuwa na uhaba mkubwa wa nyanya hapa Kenya.Kama we n mwanaharakati wa boda unajua kabisa huwezi kwenda nakitu kule Kama huna Oda au kuja nakitu bongo Kama huna Oda japo vya Kenya n rahisi kuuzika huku kuliko vya huku kwenda navyo huko.
Ndomana nikataka mtu anipe deal la kumpelekea kitu ili nikifika kule nisipate shida ya kuuza na kuchukua kile ninachoona nitauza bongo yetu hii.
Nyanya ndo tunaanza maandalizi ya shamba pia na kitunguu Michele ipo kwasana tuu na vitu vinginevyo vya viwandani.
Idea nzuri. Hata hili jukwaa linaweza kusaidi kwa nana moja au nyingineNi wazo nzuri, ila ungesema nini unacho, labda wajasiria mali kwenye mitandao watengeneze tovuti ambayo itakua inaorodhesha bidhaa adimu Kenya ambazo zipo Tanzania na bei yake, pia pia hivyo kwa upande wa Kenya ikiwemo na gharama za usafirishaji.
Nina uhakika kuna namna tunaweza kushirikiana kama wanajumuiya huku tukiendelea na utani wa jadi.
Kuna baadhi yetu tunapiga deals across that border hata leo hii.
Nyanya mpaka uwe na mtu aliye tiyari kuchukua au dalali ambaye unamletea mzigo yeye anauza kulinganga na makubaliano yenu.Nyanya ukiileta Kenya huwezi kosa market. Kumekuwa na uhaba mkubwa wa nyanya hapa Kenya.
Kuhusu mchele mkuu siwezi kujua, manake michele ya tz kiukweli sina ufahamu vizuri nayo..Nyanya mpaka uwe na mtu aliye tiyari kuchukua au dalali ambaye unamletea mzigo yeye anauza kulinganga na makubaliano yenu.
Vipi mchele huko maana kuna wahindi flani huwa wanasumbua, huwa wanataka nikija huko nwaletee yakwao yakula
Nimekwambia nyanya ndio ina uhaba sana. Wewe funga safari kuja Kenya ufanye market survey. Tembea kwenye masoko halafu piga deal na wafanyibiashara. Nyanya na vitunguu tayari Kenya inanunua kutoka Tanzania. Mambo ya mchele sina habari nayo.Nyanya mpaka uwe na mtu aliye tiyari kuchukua au dalali ambaye unamletea mzigo yeye anauza kulinganga na makubaliano yenu.
Vipi mchele huko maana kuna wahindi flani huwa wanasumbua, huwa wanataka nikija huko nwaletee yakwao yakula
Idea mzuri sana , tunengependa kujua Bei ya vituungu na nyanya . Kuna demand huku ya hizi bidhaa.Mambo!
Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa?
Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania.
Tutumie hili jukwaa kutunufaisha kibiashara Kati ya mataifa yetu mawili haya kwa business opportunities zilizopo Kati yetu Tanzania na Kenya
Will let you know after two days, kesho nitaenda shambani kuona uhalisia wa Bei kutoka shambaniIdea mzuri sana , tunengependa kujua Bei ya vituungu na nyanya . Kuna demand huku ya hizi bidhaa.
How does it feel being the only idiot in the thread?wapelekee maji na chakula! Ukifika huko mbali na corona jiandae pia na kipindupindu!
Safi sana MK254...hili ni wazo bora kabisaa..naamn hata geza ulolee atalipenda..mana huwa anawakaliaga kooni kwenye utani wa jadi..hahahaNi wazo nzuri, ila ungesema nini unacho, labda wajasiria mali kwenye mitandao watengeneze tovuti ambayo itakua inaorodhesha bidhaa adimu Kenya ambazo zipo Tanzania na bei yake, pia pia hivyo kwa upande wa Kenya ikiwemo na gharama za usafirishaji.
Nina uhakika kuna namna tunaweza kushirikiana kama wanajumuiya huku tukiendelea na utani wa jadi.
Kuna baadhi yetu tunapiga deals across that border hata leo hii.
Mkuu kama una uhakika unauzika nakushauri uanze na huoMichele unauzika vizuri tuu Kenya ukipata wa kahama n deal hata wa mbeya sema wa mbeya Bei huwa juu Sana kununua Ila wa kahama unauzika kirahisi.
Hata mahindi pia
Mkuu kama una uhakika unauzika nakushauri uanze na huo
Wewe upelekewe matundu ya choo!How does it feel being the only idiot in the thread?