Nikuletee nini kutoka Tanzania wewe uliepo Kenya?

Kama wewe ni mwanabiashara shupavu basi funga safari uje. Usibebe mzigo au bidhaa yoyote. Kuja tu Kenya siku chache uchunguze kwanza soko liko vipi. Kisha utajua ni bidhaa gani zina uhaba kisha utafanya dili na wanunuzi. Usilete bidhaa bila kuja kwanza kujionea mambo yalivyo. Hapa Nairobi nyanya moja tunanunua shilingi kumi au ishirini kulingana na size ya nyanya. Mwageni nyanya huku ili bei ishuke.
 
Nyanya yangu ndo kwanza naandaa shamba but shida iliopo n pale namanga kwa bidhaa za kuharibika naona Mambo bado haijakaa sawa
 
Huu Uzi nimeleta ili kusaidia kuondoka na mentality za Tz vs Ke ili watu wajue kumbe tukiunganisha hizi akili za huku na huko Mambo inaeza ikawa tofauti na wote tukaweka pesa mfukoni zaidi ya kubishana kijinga alafu ukiweka simu mfukoni Mambo bado magumu.

N matarajio yangu watu watafahamiana hapa na kupeana deal mie toka kitambo ninafanya Biashara za mataifa haya mawili ndo Mana nimeandika Uzi wa kiashiria Cha kuomba Oda nasio kujua nn n marketable Kenya au Tanzania.

Wazee let's connect our minds tupige pesa
 
asali jamani asali vp uko kenya nataka nije kufanya survey huko, nipeni leads hapa
 
Hivi yale mashamba ya nyanya kule loitoktok na isnet mmemaliza yote...?, mlinifaa sana watani zangu
 
Wapelekee udugu, usawa na upendo ambavyo vinakosekana Kenya. Usisahau dawa ya kupambana na ukabila pia.
 
Ni poa ungetuambia pia na bei unayo iuza ilimtu ambaye yuko intrested , aone kama anaeza fanya order.
Mimi nauza korosho npo Tanzania. Nataka nianze kuleta Nairobi. Je hapo nairobi wananunua shilingi ngapi per kilogram?? Korosho zangu ni zile brown
 
Bahati mbaya Jf haijawahi kuconcentrate na Jambo jema

Mimi nauza korosho npo Tanzania. Nataka nianze kuleta Nairobi. Je hapo nairobi wananunua shilingi ngapi per kilogram?? Korosho zangu ni zile brown

labda udaku na Yale Mimi n Bora kuliko wewe

Inshort, natafta soko ya korosho huko nairobi
 
Mimi nauza korosho npo Tanzania. Nataka nianze kuleta Nairobi. Je hapo nairobi wananunua shilingi ngapi per kilogram?? Korosho zangu ni zile brown
Sijui bei yake , wacha nta kuulizia kwa dealers halafu ntakuambia.
 


Imagine hyo soda inauzwa 50ksh wajamen Nan mkenya tuongee dili la kumpatia jamii za soda zinazo tengenezwa na Coca-Cola kutoka Tanzania.

Bila kurisk uwez pata kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…