Vayolensi๐๐Sasa ataachaje kuwasiliana na baba kijacho kuhusu jina la mtoto wao.
Pole sana mkuu
Sasa ataachaje kuwasiliana na baba kijacho kuhusu jina la mtoto wao.
Pole sana mkuu
Dah nimevaa viatu vya mwamba vikavivua siwezi.Vayolensi๐๐
Eeeh father benard ๐Aiseeee we jamaa[emoji38][emoji38][emoji38]
HAAASasa ataachaje kuwasiliana na baba kijacho kuhusu jina la mtoto wao.
Pole sana mkuu
Kwann huwa mnaowa wake za watuuu.......nliona fb dem wangu wa advance anafunga ndo mapicha kama yote nkamtext vp umeniacha akasema ww siwez kukuacha vjn achen kuolea genye.....Naombeni ushauri mke wangu ameshika ujauzito ambao ndo wa Kwanza ila ana mawasiliano bhado na eX wake.
Niimkataza mimba ikiwa ina miezi miwili Ila cha ajabu nmekaa sasa hivi ina miez saba nmekuta bado wana mawasiliano ila yeye anadai jamaa ndo huo anampigia nkamwambia kwann usimblock Hana jibu.
Halafu na pia hiyo imenipa mashaka ujauzito unaweza usiwe wa kwangu.
Naombeni ushauri wenu.
Yaani hana break๐Aiseeee we jamaa[emoji38][emoji38][emoji38]
Anaufala wa kiwango cha ramiAiseeee we jamaa[emoji38][emoji38][emoji38]
Acha mambo ya wivu wakijinga.Naombeni ushauri mke wangu ameshika ujauzito ambao ndo wa Kwanza ila ana mawasiliano bhado na eX wake.
Niimkataza mimba ikiwa ina miezi miwili Ila cha ajabu nmekaa sasa hivi ina miez saba nmekuta bado wana mawasiliano ila yeye anadai jamaa ndo huo anampigia nkamwambia kwann usimblock Hana jibu.
Halafu na pia hiyo imenipa mashaka ujauzito unaweza usiwe wa kwangu.
Naombeni ushauri wenu.
HaaDah nimevaa viatu vya mwamba vikavivua siwezi.
Lazima vibaneDah nimevaa viatu vya mwamba vikavivua siwezi.
Halafu kaongea very simple kama anakunywa maji๐๐๐Yaani hana break๐
Ataua watu kwa presha
Kuna watu wanapitia changamoto sana ila yawezekana ni kiwewe cha mimba akizaa ataachaLazima vibane
Anaufala wa kiwango cha rami
Sasa hapa tusemaje mkuuwe jamaa nimecheka sana
Huyo hafai kumuomba ushauri hata kwa bahati mbaya๐Halafu kaongea very simple kama anakunywa maji๐๐๐
Sasa kama ni ukweli si usemwe mambo ya kuficha ficha mambo mimi sio serikaliHalafu kaongea very simple kama anakunywa maji๐๐๐